Unadhani ni kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia kinga?

Unadhani ni kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia kinga?

Tuache kuwa na agenda zenye tija tujadili upuuzi…!! Kwani kuna mtu hajui namna ya kujilinda??
inasikitisha sana na inafedhehesha mno,

kuna kabinti au kavulana kametoka kupata maambukizi ya vvu, gono, kaswende au u.t.i sugu asubuh hii hii na homa itamuanza jioni,

saivi kanajichungulia tu kalivyosukutuliwa huko chini dah, inatia huruma sana aise 🐒
 
Hamna mtu anaye enjoy sex akitumia condom (na hili halina jinsia) ila hali ya dunia ndio inalazimisha watu watumie.

Ukiona mtu analeta sababu nyingi ili asitumie kinga na hamjawahi kupima pamoja kujua afya zenu, wewe kimbia tu kuokoa maisha yako.
Mwanamke akiwa sexually aroused ni shidaa
 
Back
Top Bottom