Unadhani ni kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia kinga?

Unadhani ni kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia kinga?

Kwasababu ccm hawataki tume huru ya UCHAGUZI na wanaiba kura kwa kutumia vyombo vya dola.
mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi anateuliwa na anayeenda kugombea urais.hapo ni tume huru au geresha?
 
Utaskia hua inaniwasha, mara ooh huwa inanisababishia fangas, ooh nina aleji na harufu yake ntapata mafua sasahivi n.k,

nini kifanyike ili jamiii hii ya wanawake na wanaume pia wapende kutumia kondomu wakati wa kufanya mapenzi?

huenda leo hii asubuh, kuna mtu kaamka na maambukizi ya vvu kizembe tu.

UKIMWI UPO NA HAUNA DAWA, TUMIA KONDOMU AU BAKI NJIA KUU KUJIEPUSHA NA FEFHEHA ZA U.T.I SUGU, KASWENDE AU GONO.🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Kipanya anasema hivi 👇

1739612840371.png
 
My lady,
mimi ni kiongozi mtaalamu na mtafiti wa mambo mengi kidogo, ila sihusiki kabisa na songombingo hizo,
bali huo ni baadhi tu ya ushuhuda wa wahusika waliopitia kwenye daraja hiyo.

Hata hivyo,
matumizi ya kondom ni muhimu sana unapofanya mapenzi.

Kama unampenda utamlinda. Baki njia kuu au tumia kondom 🐒
Muanze veggies kupeana huo ushauri mana mnapenda ngono zembe 😹
 
Muanze veggies kupeana huo ushauri mana mnapenda ngono zembe 😹
kutumia kinga ni ushauri wangu mujarabu na wa upendo sana kwa wadau wote wa JF hususani jukwaa hili muhimu sana na si vinginevyo mya lady 🐒
 
mimi ni mtafiti mwandamizi gentleman,
na huo ni ushuhuda wa miongoni mwa matokeo ya utafiti :NoGodNo:
Katika kufanya tafiti kuna namna nyingi za kukusanya taarifa zikiwemo participant methord na questionnaire method. Tunaomba kujua wewe umetumia njia ipi kati ya izo kufika hitimisho.
 
Katika kufanya tafiti kuna namna nyingi za kukusanya taarifa zikiwemo participant methord na questionnaire method. Tunaomba kujua wewe umetumia njia ipi kati ya izo kufika hitimisho.
hiyo si muhimu sana, kwasababu its not for academic purposes,
jambo la maana zaidi ni kila moja kujitahiodi kutumia kondomu au kubaki njia kuu :NoGodNo:
 
Hamna mtu anaye enjoy sex akitumia condom (na hili halina jinsia) ila hali ya dunia ndio inalazimisha watu watumie.

Ukiona mtu analeta sababu nyingi ili asitumie kinga na hamjawahi kupima pamoja kujua afya zenu, wewe kimbia tu kuokoa maisha yako.
Nikipaka mafuta mengi kuna ubaya???
 
Back
Top Bottom