Unadhani ni kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia kinga?

Unadhani ni kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia kinga?

Utaskia hua inaniwasha, mara ooh huwa inanisababishia fangas, ooh nina aleji na harufu yake ntapata mafua sasahivi n.k,

nini kifanyike ili jamiii hii ya wanawake na wanaume pia wapende kutumia kondomu wakati wa kufanya mapenzi?

huenda leo hii asubuh, kuna mtu kaamka na maambukizi ya vvu kizembe tu.

UKIMWI UPO NA HAUNA DAWA, TUMIA KONDOMU AU BAKI NJIA KUU KUJIEPUSHA NA FEFHEHA ZA U.T.I SUGU, KASWENDE AU GONO.🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Mkuu kumbuka pia ata wanandoa wanaweza kuleteana ndani je! Pia watumie kinga
 
Utaskia hua inaniwasha, mara ooh huwa inanisababishia fangas, ooh nina aleji na harufu yake ntapata mafua sasahivi n.k,

nini kifanyike ili jamiii hii ya wanawake na wanaume pia wapende kutumia kondomu wakati wa kufanya mapenzi?

huenda leo hii asubuh, kuna mtu kaamka na maambukizi ya vvu kizembe tu.

UKIMWI UPO NA HAUNA DAWA, TUMIA KONDOMU AU BAKI NJIA KUU KUJIEPUSHA NA FEFHEHA ZA U.T.I SUGU, KASWENDE AU GONO.🐒

Mungu Ibarki Tanzania
. Hawa viumbe waangalie tu kama walivyo, kuna jamaa alipata gono, alizinguka hii Tz lakini dawa zilidunda..

. Ikabidi aende Kenya ndo alikoponea gono.
 
Acha kuwaza ngono gentleman.

Ndio maana unakuwaga na mawazo ya hovyo.

Na ccm inapenda wawaza ngono kama wewe ili iendelee kuwatumikisha.

Mkishavaa hayo mashati yenu ya kijani hakuna mawazo mengine ya maendeleo mnayowaza, zaidi ya uchawa na ngono
 
Utaskia hua inaniwasha, mara ooh huwa inanisababishia fangas, ooh nina aleji na harufu yake ntapata mafua sasahivi n.k,

nini kifanyike ili jamiii hii ya wanawake na wanaume pia wapende kutumia kondomu wakati wa kufanya mapenzi?

huenda leo hii asubuh, kuna mtu kaamka na maambukizi ya vvu kizembe tu.

UKIMWI UPO NA HAUNA DAWA, TUMIA KONDOMU AU BAKI NJIA KUU KUJIEPUSHA NA FEFHEHA ZA U.T.I SUGU, KASWENDE AU GONO.🐒

Mungu Ibarki Tanzania

Wanafanya hivyo kwa sababu Wanajua kwamba hizo kinga hazinaga kinga.Au wanajua hawana cha kujikinga kwa sababu kila kitu wanacho kuanzia HIV kaswende na ma UTI.Kama kuna mtu yoyote sasa hivi anasoma huu uzi na amekuwa muda wote huo amefanya uzinzi na uasherati na hajapata maambuki ya virusi vya UKIMWI au ameshapata, na mshauri aachane kabisa na kufanya uzinzi na uasherati amalize maisha yake salama kwa amani.ajiepushe kuambukizwa au kuambukiza wengine.Penda kutenda haki ya Mungu utaishi kwa amani na furaha sana.Wewe ambaye hujaambukizwa ukifanya shingo ngumu utajutia mwenyewe peke yako.Kwa nini usijipende mwenyewe ukajijali ,mtu umehangaikia maisha yako karibu yote,umesota toka utotoni na maisha ya kuungaunga sasa maisha yamekaa vizuri na umepata hela,hela hizo hizo ndiyo zinakuletea maradhi na kifo cha makusudi.Fikiri upya FUNGUKA bro wangu.Halafu ilivyo ajabu wanaopataga maambukizi ni wale amabo wamekulia maisha ya shida(yaani Backgrounds zao ni za kimasikini) na kufanikiwa ukubwani.Maana mafanikio ya hivyo huambatana na ulimbukeni.unataka ufanye vyote ambavyo ulitamani kufanya wakati huna hela. Kaa chini tafuta mwanamke oa pata watoto ishi mpaka uwaone wana wa wana wako.ndiyo principle ya Ki-Mungu hiyo.

Najua umesikia wanasema wanawake siku hizi siyo waaminifu kwa hiyo bora kutokuoa.Nataka nikwambie wasio waaminifu ni hao hao wa huko kwao,walio waaminifu wapo wengi tuu wamejaa tele.

Ukitaka kuoa nendeni mkapime afya zenu wote.Epuka ku-risk.Najua mapenzi yana mihemuko yake.lakini unaweza dhibiti mihemuko ikiwa kila siku unafanya maamuzi kwa utylivu bila papara.huwezi kujitunza maisha halafu jitu flani liniletee maradhi kijinga.
 
inasikitisha sana na inafedhehesha mno,

kuna kabinti au kavulana kametoka kupata maambukizi ya vvu, gono, kaswende au u.t.i sugu asubuh hii hii na homa itamuanza jioni,

saivi kanajichungulia tu kalivyosukutuliwa huko chini dah, inatia huruma sana aise 🐒
Huruma ya nini na alitaka utamu kaupata, mpk ma shuleni huko ngazi ya msingi wanafundishwa sasa km yeye mbishi km veggies atulie hayo ndo matokeo..!!

Ukipanda matembele, utachuma matembele.!
Hiyo uwe unataka au hutaki..!

Na wewe ulijuaje km kasukutuliwa km sio wewe ndo fataki mwenyewe?? 😹
 
My lady,
mimi ni kiongozi mtaalamu na mtafiti wa mambo mengi kidogo, ila sihusiki kabisa na songombingo hizo,
bali huo ni baadhi tu ya ushuhuda wa wahusika waliopitia kwenye daraja hiyo.

Hata hivyo,
matumizi ya kondom ni muhimu sana unapofanya mapenzi.

Kama unampenda utamlinda. Baki njia kuu au tumia kondom 🐒
 
Back
Top Bottom