Unadhani ni kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia kinga?

Unadhani ni kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia kinga?

Utaskia hua inaniwasha, mara ooh huwa inanisababishia fangas, ooh nina aleji na harufu yake ntapata mafua sasahivi n.k,

nini kifanyike ili jamiii hii ya wanawake na wanaume pia wapende kutumia kondomu wakati wa kufanya mapenzi?

huenda leo hii asubuh, kuna mtu kaamka na maambukizi ya vvu kizembe tu.

UKIMWI UPO NA HAUNA DAWA, TUMIA KONDOMU AU BAKI NJIA KUU KUJIEPUSHA NA FEFHEHA ZA U.T.I SUGU, KASWENDE AU GONO.🐒

Mungu Ibarki Tanzania

Huku mtaani kwetu mambo yapo kinyume chake

Wanawake wanataka condom,wanaume hawataki
 
Hamna mtu anaye enjoy sex akitumia condom (na hili halina jinsia) ila hali ya dunia ndio inalazimisha watu watumie.

Ukiona mtu analeta sababu nyingi ili asitumie kinga na hamjawahi kupima pamoja kujua afya zenu, wewe kimbia tu kuokoa maisha yako.
Hata mkipima condom ni muhimu tena kila baada ya dakika 5 ibadilishwe mpya .
 
Mimi naona wanaume nyie ndio wasumbufu kwenye kutumia kinga. Na hata mkitumia full kulalamika tu inawabana katikati mnataka mvue
ni kweli kuna vikondom siku hizi ni vidogo mno, sasa kwa tuliojaaliwa mishedede ya maana kondom inabana sana misulu na ladha halisi ya mbususu inapotea,

ila SALAMA CONDOMS haijawahi kumuangusha mwenye kibamia au aliejaaliwa sana hogo, inafiti vizur mno na haibani misuli,

Nashauri vijana kutumia salama kondom na itapendeza zaidi 🐒
 
Ila kuliwamwaga KOJO live Ina Raha yake mjue...

NB: Tumia Kinga ,kama unampenda utamlinda ,Ukimwi upo
 
Wadada na wamama wa siku hizi,ukitaka aje kwako mara kwa mara,usitumie kinga,ndomaana baadhi yao wanapenda sana wakaka na wababa ambao hawajali afya zao,ambao hupendelea kutovaa kinga wakati wa kufanya mapenzi.
 
Huku mtaani kwetu mambo yapo kinyume chake

Wanawake wanataka condom,wanaume hawataki
Yes,
inawezekana kabisa hilo kutokea,

kwasabb wapo vijana wenye uume legelege baada ya kuathiriwa na nyeto na pornography videos hawawezi kuvaa kondom kwasabb hawawezi kusimamisha sawa sawa mishedede yao,

ili kondom kuvaliwa vizur ni lazima uume usimame imara na kua mgumu kama kalamu au mti mkavu ndipo kondom iweze kuingia na kufiti vizur kabla hujaingiza kwenye mbususu iliyotayari kusukutuliwa 🐒
 
ni kweli kuna vikondom siku hizi ni vidogo mno, sasa kwa tuliojaaliwa mishedede ya maana kondom inabana sana misulu na ladha halisi ya mbususu inapotea,

ila SALAMA CONDOMS haijawahi kumuangusha mwenye kibamia au aliejaaliwa sana hogo, inafiti vizur mno na haibani misuli,

Nashauri vijana kutumia salama kondom na itapendeza zaidi 🐒
Mheshimiwa hii comment bila picha ya mshedede ni ubatili
 
picha ni kwa hisani ya faragha,

hivi mmekuaje ukimkuta kijana ana kibamia anaonekana kama kibaka tu, na yule mwenye mshedede wa maana ndie hasa anaonekana mwanaume kamili, why now days?🐒
Inategemea na shimo
Huo mshedede kuna mwingine anaweza kuuona kama kibamia tu
 
Aloo kondom inabana aisee ukitaka kumwaga mpaka uume unauma. Kama simwamini bora niache tu. Kikubwa tujitahidi kuchagua wanawake wasafi basi
 
Back
Top Bottom