Unadhani ni nani anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake?

Unadhani ni nani anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili ni swali tu ndugu zangu, wala halina Uhusiano na jambo lolote lile.

Cheo ni dhamana ya Muda mfupi sana ni kama mbio za kupokezana vijiti tu, leo huyu, kesho yule .

Kiongozi aweza kuachia madaraka kwa kuondolewa na Mamlaka ya Uteuzi, aweza pia kuachia madaraka kwa hiyari yake, ama aweza kuondoka kwa kumaliza utumishi wake kwa mujibu wa sheria, Hivyo basi msiogope kupendekeza majina mapya, maana hakuna Waziri Mkuu wa Milele.

Cha Msingi ni kuzingatia tu kwamba Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba, Waziri Mkuu ni lazima atokane na Wabunge wa kuchaguliwa.

Taja Jina ulitakalo bila hofu yoyote. Utalindwa.
 
Nadhani kuliko kuchagua / kupanga ni nani apate nafasi ya kwenda kulamba asali ni vema tungetafuta mbinu ya kulinda asali yetu....

With current infrastructure na utamaduni wetu wa kuona wezi / wapigaji ndio wajanja kubadilisha watu ni kama kujaribu kumpaka lipstick kitimoto ili apendeze (ataendelea kuwa kitimoto tu)
 
Hili ni swali tu ndugu zangu , wala halina Uhusiano na jambo lolote lile.

Cheo ni dhamana ya Muda mfupi sana , ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu , kesho yule .

Kiongozi aweza kuachia madaraka kwa kuondolewa na Mamlaka ya Uteuzi , aweza pia kuachia madaraka kwa hiyari yake , ama aweza kuondoka kwa kumaliza utumishi wake kwa mujibu wa sheria , Hivyo basi msiogope kupendekeza majina mapya , maana hakuna Waziri Mkuu wa Milele .

Cha Msingi ni kuzingatia tu kwamba Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba , Waziri Mkuu ni lazima atokane na Wabunge wa kuchaguliwa .

Taja Jina ulitakalo bila hofu yoyote , Utalindwa .
Msukuma na STD 7 yake....
 
Hii kampeni ya kumtoa PM mbona kama inakuwa serious, ngoja nipekupe files labda nitaona anayefaa kumrithi, maana CCM wote ni dugu moja.
 
Ni ibara ya ngapi ya katiba imeweka ukomo kwa waziri mkuu kukaa madarakani?
Naomba ufafanuzi wataalam wa sheria na katiba.
 
Back
Top Bottom