Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni yupi huyo?Gullo anafaa
Shumbi anao uwezo
Alaaas!!As long as bado Kikwete anapumua ukimpata utajua amapanga nani ni Rais - PM ajaye.
Rostam Aziz ndiye anao huo mkekaHili ni swali tu ndugu zangu , wala halina Uhusiano na jambo lolote lile...
Kwa maana akijiuzulu?Hili ni swali tu ndugu zangu , wala halina Uhusiano na jambo lolote lile.
Cheo ni dhamana ya Muda mfupi sana , ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu , kesho yule...
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwa ile kauli ya marope Kule geita kwenye uchaguzi ndani ya chama...
Msukuma na STD 7 yake....Hili ni swali tu ndugu zangu , wala halina Uhusiano na jambo lolote lile.
Cheo ni dhamana ya Muda mfupi sana , ni kama mbio za kupokezana vijiti tu , leo huyu , kesho yule .
Kiongozi aweza kuachia madaraka kwa kuondolewa na Mamlaka ya Uteuzi , aweza pia kuachia madaraka kwa hiyari yake , ama aweza kuondoka kwa kumaliza utumishi wake kwa mujibu wa sheria , Hivyo basi msiogope kupendekeza majina mapya , maana hakuna Waziri Mkuu wa Milele .
Cha Msingi ni kuzingatia tu kwamba Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba , Waziri Mkuu ni lazima atokane na Wabunge wa kuchaguliwa .
Taja Jina ulitakalo bila hofu yoyote , Utalindwa .
Mama alisema atateuwa wapinzani kwenye serikali yake, nadhani yule aliyesema atakuwa waziri mkuu ndani ya masaa 72 atafaa baada ya katelefoni.ni yupi huyo ?