Unadhani siku 5 za Maombolezo Tanzania kwa kifo cha Malkia Uingereza zinatokana na nini hasa kati ya haya?

Unadhani siku 5 za Maombolezo Tanzania kwa kifo cha Malkia Uingereza zinatokana na nini hasa kati ya haya?

Jeuri ya ndugu,hata Ivo hatujawahi kuwa huru mbona
 
Yaani hapa ndio tumejua umri wako, nyie wa miaka ya 90 hapa hata waje 100 hawana cha kukueleza. Ila rudini nyuma na hata alipozaliwa Prince Charles 1948 bongo huku walipumzika na walisheherekea, yaani huyu marehemu alipoenda leba babu zako huku bongo ilikuwa sikukuu. Sasa leo kadanja lazima tuuomboleze huyu malkia anatuhusu sana.

Babu zako walitawaliwa na ujerumani na wamekula sana viboko na wakati huo kuingia Dar unaanzia lango la jiji, ukiruhusiwa lazima uwe na mwenyeji na utinge kaptula na shati jeupe. Mwingereza alimaliza utawala WA ujerumani na babu yako Mwalimu Julius alimpiga sound Malkia tukapata uhuru mezani, tofauti na wengine walipigana vita kupata uhuru.

Malikia ndio alikuwa kiongozi wa uingereza na mwenye nguvu kubwa, yaani hapa mawazo na fikra zako zirudishe nyuma sana na kabla ya uhuru nchi hii iliongozwa na malkia, yaani tumefiwa na mtawala wetu kabisa, Nyie mnaambiwa raisi wa kwanza ni Mwalimu ila kabla ya Mwl. Malkia Elizabeth ndio alikuwa kiongozi wetu kupitia magovernor aliowaweka yeye.

Hatutafuti sifa kwa yeyote hapa tumefiwa na kiongozi wetu kabisa, kama unajua Raisi Samia ndio kiongozi wa kwanza mwanamke kuongoza Tanzania basi chukua na hii Malkia alianza to mwaka hamsini kweusi. Ndio maana lugha yetu ya Taifa kuwa kiswahili ni kwa mbiinde ila ung'eng'e ndio lugha yetu haswaa. Hakuna anayeukumbatia ukoloni Malikia ndio aliwapa uhuru babu wa baba yako.
Huyo unaemuelimisha ni mkimbizi kutoka kwa Kagame.

Nchi Yao haikutawaliwa wala kuwa chini ya Udhamini wa Uingereza.

Ukitaka ugomvi mtaje kwa ubaya kiongozi wake.
 
1. Umbumbu
2. Ushamba
3. Uwoga wa Kunyimwa Misaada
4. Kujipendekeza ili ukiwa na Shida usaidiwe
5. Unafiki
6. Kuendelea Kuukumbatia Ukoloni
7. Kutafuta Sifa za Kipuuzi

Najiandaa sasa kusoma maoni yenu enyi Great Thinkers wa JamiiForums ambao nawakubali mno kwa usomi, uchakataji wa masuala na uelewa wenu mkubwa kuliko Watanzania wote.
Amemiss vita vya maji maji songea.
 
Back
Top Bottom