Unadhani wivu ni sehemu ya asili ya upendo, au ni ishara ya kutokujiamini?

Unadhani wivu ni sehemu ya asili ya upendo, au ni ishara ya kutokujiamini?

Inategemea Wivu katika MUKTADHA upi.
Katika MUKTADHA wa Mapenzi Wivu ni sehemu ya Mapenzi.

Hakuna mapenzi Bila Wivu.

Ingawaje Wivu unahitaji udhibiti kupitia akili ili usilete madhara.
Wewe una wivu kwa mkeo??
Huvuki mipaka ipi katika kumuonea wivu mkeo??
 
Hakika. Ila kuna ule wivu flani natural mkuu. Unakuta mwana ana pisiake afu mnatembea we unakuwa msindikizaji wanashikana hapo, wanakiss, wanafanya yao dah inadhalilishaga kinoma afu inatia wivu.
..hiyo ni "soap opera"😁
 
Wivu -jealous
Ubinafsi - Ego-centric

Binadamu anapozaliwa anazaliwa na ubinafsi , hii unaweza kuipima Kwa mtoto unamnunulia pipi Ila ukimuomba anakunyima .

Ila Wivu sio Asili Ila ni issues ya saikolojia au issue ya akili zaidi.

Wivu - ni pale unatamani kitu ambacho hauna na wivu hujengwa na kitu huitwa Scarcity mindset

Ila wivu huo huo badala ya kutamani kitu akichonacho mtu unaweza kuchukulia in positive way kuwa Kama wao wamenizidi na Mimi nikikaza nitafika walipo au zaidi.
Wivu mara nyingi sana huwa upo in a negative way, envy and egoistic.
 
Ni sehemu ya asili..ukitaka kuifikiria Angalia jinsi wanyama wana protect vifaranga wao..
Vifaranga tuu?

Ukitaka kuuona wivu unavyofanya kazi, waangalie wanyama kipindi tuseme cha kupandana, mfano mbwa au ng'ombe!

Dume dhaifu haliwezi kuthubutu kusogelea jike kabla ya kuraluliwa na yenye uwezo!
 
Back
Top Bottom