Unadhani wivu ni sehemu ya asili ya upendo, au ni ishara ya kutokujiamini?

Naamini wivu unachangiwa na kutojiamini wala siyo upendo.
 
Kwa kiasi fulani kama unampenda mtu wako lazima utapatwa na wivu akifanyiwa mambo fulani fulani mf. ukiona anashikwashikwa na mwingine
 
Back
Top Bottom