Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
Sijambo🗣️Marahaba. Hujambo?
Nimedindisha hapa, Seran naomba msaada 😎Hivi wanawake wenzangu mnaovaa taiti za kubana,bila hata mtandio,mbaya zaidi mistari wa chupi unaonekana na mtu huna habari wala nini, mbaya zaidi mtu kavaa pedi,na inaonesha kabisa imevimba au imekaa upande
Hapana bwana zinajulikana,Tatizo wanawake wengi hatuna Elimu Ile ya kiutuuzima. Mwingine unamshitua anaenda kuset au kubalilisha,Kumbe we sio mwema mwanetu…
Ulijuaje hao wavaa taiti ni wakristo? Uliulizia imani zao au umeongea sbb hujaona wakiwa wamevaa baibui? Kwani wote islamic ladies wanavaaga baibui? Hayo ni mambo ya mtu na mtu na ustaarabu wake kwa jamii na makuzi.. hayana la kufanya na dini.. ndio maana RC ukienda Kanisani na vazi la ajabu utapewa kitenge cha wawata uvae
Dar raia wake wengi wa kike wanapenda kuvaa vijora.. huko kwa wavaa taiti ni wapi?
Ulijuaje ni ped ndio zimevimba? Haya wadada pendeleeni kutumia HQ pads.. ni nyembamba hazituni 😀😀 afu Maria Kwanini usiwaze labda wana papuchi nene? Labia zimetuna?
Hama uko aiseeHapana bwana zinajulikana,Tatizo wanawake wengi hatuna Elimu Ile ya kiutuuzima. Mwingine unamshitua anaenda kuset au kubalilisha,
Ila ukweli unauma
Eee wakubwa wanafaidi Sana aisee, kumbe kuna nyapu nene na hamsemi 🙌afu Maria Kwanini usiwaze labda wana papuchi nene?
Me sijui kitu oote kwenyw hiyo habari 😀Eee wakubwa wanafaidi Sana aisee, kumbe kunya nyapu nene na hamsemi 🙌
Afu ndo kuna baby girls zinajipa matumaini ety nyapu zote ni sawa kumbe kuna nyapu nene afu nyapu zao zimekondeana, kumbe n wivu tuu 😂
Huyu kulingana na mada zake hakuna wa kumuharibu, Huyu ndie master wa uharibifuHama uko aisee
Watakuharibu.. inaonekana majirani zako hawajui kujistiri watakuharibu 😀
Ngoja na mm nikiwa mkubwa Ntaanza kuzitafuta hizo nene mana Naskia zina mafuta ya kulowanisha mtwangio 😎Me sijui kitu oote kwenyw hiyo bahari😀
Hayo mambo hayawezi kunikuta Kamwe, mm sio lombalomba ovyoUmalaya wewe mpaka likukute jambo la mwenye kipele kichwani🤣
Wee na Nani mmedhalilishwa ,punguza mazoea na Mimi
Ngoja niweke kambi hapa. 🤸Nikuzoee nikupeleke wapi unatafuta sttention za kishamba mpuuzi mmoja wewe!
Umeamua kumshambulia tu amenyooka sana kwenye maelezo yake na kama kweli yupo hivyo alivyoelezea yupo vizuri kwenye swala la mavaziMara huna kazi mara tule lunch ofisini kwenu! Ukijistiri wewe inatosha sana, mambo ya kusema wakristo wanavaa taiti na pedi imetuna kisa mtaani kwenu wanavaa hovyo unatukosea sana! Mavazi hayana mahusiano na dini kuna wasabato na walokole kibao tu wanajisitiri! Kama unataka wanaume wa humu wakuone unajisitiri wawekee picha na sio kudhalilisha wanawake wenzio kupitia dini!
Unamtunzia future waifu sio😁Hayo mambo hayawezi kunikuta Kamwe, mm sio lombalomba ovyo