Unadhifu na mpangilio wa mavazi kwa mwanamke

Unadhifu na mpangilio wa mavazi kwa mwanamke

Shikamoon wakubwa zangu
Wadogo zangu,hamjambo.

Leo niongee kitu cha tofauti kidogo,hususani kwetu Sisi wanawake, mm mwenyewe si msichana tena,hata mamangu mara nyingi ananihusia hili kuhusu mwenendo wangu na mpangilio wa mavazi.

Hebu Kwanza niulize,
Hivi wanawake wenzangu mnaovaa taiti za kubana,bila hata mtandio,mbaya zaidi mistari wa chupi unaonekana na mtu huna habari wala nini, mbaya zaidi mtu kavaa pedi,na inaonesha kabisa imevimba au imekaa upande,mmmh aibu naona mm!

Hivi mnajisikiaje,
Na hili Tatizo lipo Sana kwetu Sisi wakristo kutojipenda waziwazi,na kuwa na uzungu mwingi.

Binafsi nadhani kuzaliwa na kukulia,au kuchangamana na jamii,ya pwani kumeniathiri na kupenda mavazi na taratibu za kiislamu,yaani kiukweli siwezi kwenda kilomita 3 kutoka nyumbani bila mtandio,siwezi vaa suruali ya kubana,au gauni linalobana,niwapo nyumbani ni vijora ,madela na magauni siwezi vaa suruali wala kaptura,sijui wenzangu mnawezaje.

Hivi hizoo taiti zenu zikichanika bahati mbaya aidha umegusa kitu chenye ncha Kali inakuwaje.
Wengi hamtembei na khanga wala mtandio kwamba utajistiri.

Mmmmh siwezi bora nionekane mshamba

Karibuni tule lunch ya ofisini kwetu🌹
Hii ni topic yenu wanawake japo mie namhusudu mwanamke ambae:
1.kavaa chupi ya cotton na ana spea 2 zingine mkobani
2.Ana skin tight
3.Gauni ambalo halibani na linavuka magoti kidogo
4.Kama ana nywele nyingi asuke vizuri.Na avae nguo za bei ya kawaida tu.Pia asinuke makwapa,asinuke mdomo na asibakishe mavimavi matakoni kwa kutojiosha vizuri.Na kila akijamba aende akajisafishe.
Mavuzi asinyoe na kiwembe bali apungunguze kwa mkasi.
 
Hii ni topic yenu wanawake japo mie namhusudu mwanamke ambae:
1.kavaa chupi ya cotton na ana spea 2 zingine mkobani
2.Ana skin tight
3.Gauninambalo halibani na linavuka magoti kidogo
4.Kama ana nywele nyingi asuke vizuri.Na avae nguo za bei ya kawaida tu.Pia asinuke makwapa,asinuke mdomo na asibakishe mavimavi matakoni kwa kutojiosha vizuri.Na kila akijamba aende akajishaishe.
Mavuzi asinyoe na kiwembe bali apungunguze kwa mkasi.
We baba mkeo kazi anayo! Nikajambe kwenye daladala niwahi kwenda kujitawaza kisa mume hutaki harufu za ushuzi😱
 
Back
Top Bottom