Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
- #41
We nayee Acha habari zakoPumbavu zenu wanaume wa humu hamfai kabisaš®
We nayee Acha habari zakoPumbavu zenu wanaume wa humu hamfai kabisaš®
Wewe ndio unakuta vimavi kwenye boxer lako? Duhh dunia ina mambo mengi hiišš¾Cha ajabu kipi! we ukijamba kwenye daladala na kuna mijambo fulani mavi hutoka,unataka usioshe the river between
Huyu Malaya ni mchafu,tangu lini mlevi wa pombe Kali akawa msafiCha ajabu kipi! we ukijamba kwenye daladala na kuna mijambo fulani mavi hutoka,unataka usioshe the river between
Hakuna uwezekano wa ku ipin hii comment?Mara huna kazi mara tule lunch ofisini kwenu! Ukijistiri wewe inatosha sana, mambo ya kusema wakristo wanavaa taiti na pedi imetuna kisa mtaani kwenu wanavaa hovyo unatukosea sana! Mavazi hayana mahusiano na dini kuna wasabato na walokole kibao tu wanajisitiri! Kama unataka wanaume wa humu wakuone unajisitiri wawekee picha na sio kudhalilisha wanawake wenzio kupitia dini!
Hizo pombe nakunywaga na babako? Wewe endelea kuanika uke wako huko kwenye nyuzi upate soko! Soko lako gumu sana lolš¤£Malaya wa sinza mna mambo kweli!Huyu Malaya ni mchafu,tangu lini mlevi wa pombe Kali akawa msafi
Hili lidada lijinga kweli linajikutaga keki Halafu nalielewesha kuwa liache kukashfu dini linaniattack personally kama sio senge ni nini?š¤£Hakuna uwezekano wa ku ipin hii comment?
Nachukiaga mada za ku attack imani za watu wengine š®Hili lidada lijinga kweli linajikutaga keki Halafu nalielewesha kuwa liache kukashfu dini linaniattack personally kama sio senge ni nini?š¤£
Mwambieni huyo mwenye soko gumu kutwa kujihangaisha na manyuzi ya kimalayamalaya tu!Inatosha sister ugomvi sio mzuri šš¾
Umeolewa ?Shikamoon wakubwa zangu
Wadogo zangu,hamjambo.
Leo niongee kitu cha tofauti kidogo,hususani kwetu Sisi wanawake, mm mwenyewe si msichana tena,hata mamangu mara nyingi ananihusia hili kuhusu mwenendo wangu na mpangilio wa mavazi.
Hebu Kwanza niulize,
Hivi wanawake wenzangu mnaovaa taiti za kubana,bila hata mtandio,mbaya zaidi mistari wa chupi unaonekana na mtu huna habari wala nini, mbaya zaidi mtu kavaa pedi,na inaonesha kabisa imevimba au imekaa upande,mmmh aibu naona mm!
Hivi mnajisikiaje,
Na hili Tatizo lipo Sana kwetu Sisi wakristo kutojipenda waziwazi,na kuwa na uzungu mwingi.
Binafsi nadhani kuzaliwa na kukulia,au kuchangamana na jamii,ya pwani kumeniathiri na kupenda mavazi na taratibu za kiislamu,yaani kiukweli siwezi kwenda kilomita 3 kutoka nyumbani bila mtandio,siwezi vaa suruali ya kubana,au gauni linalobana,niwapo nyumbani ni vijora ,madela na magauni siwezi vaa suruali wala kaptura,sijui wenzangu mnawezaje.
Hivi hizoo taiti zenu zikichanika bahati mbaya aidha umegusa kitu chenye ncha Kali inakuwaje.
Wengi hamtembei na khanga wala mtandio kwamba utajistiri.
Mmmmh siwezi bora nionekane mshamba
Karibuni tule lunch ya ofisini kwetuš¹
Mimi sinywi pombe yeyote,kazi kwako weee mlevi mpenda pombe za bure,Kwanza umeshazaa,maana huko nyuma unakotoa kaa ukijua utapata taabu kujifungua na ni aibu maana huwezi nunuliwa pombe watu wakakuacha bureHizo pombe nakunywaga na babako? Wewe endelea kuanika uke wako huko kwenye nyuzi upate soko! Soko lako gumu sana lolš¤£Malaya wa sinza mna mambo kweli!
HaikuhusuUmeolewa ?
Huo ugomvi humu ni mkubwa sana kama umeshatafatilia utaona! Imekuwa kero watu wanadhalilishana kutwa we fatilia utahisi ni utani ila ndio wanatukanana mpaka kina makebo wameitwa matako!Nachukiaga mada za attack imani za watu wengine š®
Huko upande wa pili wanajidai watakatifu mnoo ila jua likizama š¤®
Kuna namna nyingi ya kufikisha ujumbe bila kuwatoa akili wengine
š¹š¹š¹ Mabwakuuu!!Wewe dada huna maneno kunizidi subiri nishuke kwenye gari nakusikiliza kibungo usiye na haya uliyejikatia tamaa,huna kazi ,huna unalofanya kucha upo mtandaoni kila Uzi upo mxieeew
Unaandika ujinga we sio wa aina yangu endelea kuwandikia nyuzi washenzi wenzio za umelala waje wakuone! siwezi kubishana na takataka kama hii š¤®Mimi sinywi pombe yeyote,kazi kwako weee mlevi mpenda pombe za bure,Kwanza umeshazaa,maana huko nyuma unakotoa kaa ukijua utapata taabu kujifungua na ni aibu maana huwezi nunuliwa pombe watu wakakuacha bure
Kuna watu wanajipa umuhimu mi na angalia nachekaga sana š¤£Huo ugomvi humu ni mkubwa sana kama umeshatafatilia utaona! Imekuwa kero watu wanadhalilishana kutwa we fatilia utahisi ni utani ila ndio wanatukanana mpaka kina makebo wameitwa matako!
Sasa huyu mpumbavu alokosokwa haya anahisi kila mtu kazi yake ni kusugua vyoo ndio asishike simu! Anakuja kupangia watu maisha hata kama unajiuza mbona mbinu ziko nyingi sana kwani lazima udhalilishe dini za watu ndio soko liende! Kama ameshindwa kabisa kupata wateja awafate pm Sio kuandiki uharo wa huko uswaz kwaoš®
š¹š¹š¹š¹ Merry nifundishe kuchamba mahi..!!Mimi sinywi pombe yeyote,kazi kwako weee mlevi mpenda pombe za bure,Kwanza umeshazaa,maana huko nyuma unakotoa kaa ukijua utapata taabu kujifungua na ni aibu maana huwezi nunuliwa pombe watu wakakuacha bure
Nikikujibu tena niite mbwaš¤®š¤® nilijua uko timamu kumbe lishamba hivi, karne hii unamaini kuwa offline ndio kuwa na pesa pole sana meri sijui mariš¤Nishuke wapi Malaya mbwa wewe ,ghorofa babako analo,ungekuwa wa maana ungekuwa jf muda wote ,haya vua hicho kisuruali kinachokupa joto muda wote,msenge mwenyewe,hiloooo lichafuuu
Tutoke jf tukafanye kazi tutamaliza ugali wa marry lolš¤£Kuna watu wanajipa umuhimu mi na angalia nachekaga sana š¤£
Imefika hatua tunapangia namna ya kuishi lol
Hamna, mbona tangu muda hua nalisemaNa hilo neno baby girls sijui umepata mpenzi mpya ni kasheshe leoš