Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

Unaweza kuua nchi kweli!!?? mikelele kila kukicha kwamba mmeonewa, acha JPM akaze tu maana hakuna namna.
Kabla ya muungano wetu isingewezekana kuwauwa watanzania kwasababu Tanzania haikuwepo. Labada watanganyika maana nchi hiyo ya Tanganyika ilikuwepo. Ukiacha mambo ya kiimani watu huitwa kwa kunasibishwa na taifa lao. Yaani Waganda ni wa nchi ya Uganda au Watanzania ni wa nchi inaiyotwa Tanzania. Hivyo nilisema kwa misingi hii si ile ya kufumba macho na kulazimisha ubongo wa wengine kuamini yale yalio nje ya logic
 
Rais wao yaani Rais Benjamin Natanyahu ni Rais pekee Duniani aliyerudia kuwaongoza Waisrael baada ya kipindi chake cha mwanzo kumalizika.Rais huyu anaongoza Duniani kwa kuwa na IQ kubwa inayofikia 180 units binadamu anayefuatia ana IQ 165 units.
netanyahu ni waziri mkuu..rais yupo ila si mtendaji na hana mamlaka makubwa kama waziri mkuu
 
Israel anaweza kuishambulia nchi yoyote na umoja wa mataifa usiseme chochote....
 
Nieleweshe kidogo hapa unaposema wanaamini "Israel ni damu popote walipo nyumbani kwanza" asante.
 
Hata ukisoma kitabu cha Yoshua na kitabu cha Waamuzi unaona wazi Mungu anawapigania kwa namna ya kipekee kabisa. Anayebisha haya hana uelewa wa mambo makubwa na ya ndani zaidi.
 
HAWA JAMAA WAKO TAYARI KUFANYA CHOCHOTE ILI WAENDELEE KUWEPO.SISHANGAI UNAWEZA KUWA SAHIHI KABISA
Na wanafanya hivyo kwa sababu wasiowapenda ni wengi. Sasa hivi hakuna taifa linaweza kuwagusa. Ukigusa unanata. Hata huyu mmarekani ambaye wengi husema anamlinda Israeli ingawa ni vice versa.
 

Wapo wanao amini katika hizo Dini na matendo yao yasifanane au kuendana na hizo Dini ,pia wapo wasio amini ktk hizo Imani na wakaishi kibinadamu na Binadamu wengine.

Inawezekana wew ndio umeseti Akili yako kuwa hauwezi kuishi Maisha ya Kibinadamu bila ya kuwa na Dini..

Binadamu wa leo unakuwa na mawazo mgando namna hii?..
 
Ndio.maana Tanzania tumelaaniwa kutokana na serikali yetu Kuvunja uhusiano na Israel na kukumbatia wapalestina
Mods mnisamehe

Tanzania haijalaaniwa kalaaniwa msenge huyu tuuuuuuu
 
Kuna mpango wa Mungu uliofichama tangu mwanzo kupitia waisrael yaani dunia kulombolewa kuwa huru kupitia israel.
Waliikataa injili licha ya yesu kupitia kwao lakini dunia nzima tumefanyika kuwa waisrael kwa njia nyingi.
Ikaandikwa ewe Israel, atalaaniwa atakesema umelaaniwa na atabarikiwa yeyote atakayesema israel umebarikiwa(mwanzo ).
Baraka humfikia kila binadamu lakini lazima zipitie kwanza kwa mmoja kisha awe kama supplier kwa wote. Biblia ni pana na fasihi nzito.
 
Duuh waisreeli ni balaa Lakini Israel hii sio ile ya Owen's maandiko
 
Taifa teule, hebu tujiulize kwann mungu alimteua ibrahim peke yake kutoka miongoni mwa ndg zke kutoka ktk taifa lake, kwanin asiteue taifa zima maana wote ni watu wake mungu?
Kwanin mungu anafunga agano na ibrahim juu ya kizazi cha ibrahim ilihali kuna wanadamu wengne? TenA anasema israel ni mzaliwa wang wakwanza ukimbalik nitakubarik na ukimlaani nitakulaani.
Mung anawapigania waisrael ktkt ya wamisri huku akiwapiga wamisr kwa mapigo tisa ilihali wamisr ni watu wamung kama waisrael?
Kuna uhusiano gani kati ya mungu na taifa la israel?
kuna wakati mungu alitaka kulifuta taifa la israel wakati musa alipokwenda kusali mliman,wana wa israel wakachonga sanam wakaanza kuibudu, mung akamwambia musa nitawafuta hawa wanawaisrael kwa kuwa wamenitenda uovu halafu nitakuinulia uzao wewe musa,
Musa akamwambia mungu kumbuka agano ulifunga na ibrahim, mung akaghail asiwatende mabaya.
Uteule wa israel si kwa matendo yao bali uteule ulianzia pale mung alipomteua ibrahim babu yao na isak na yakobo na kufunga agano nao kutoka ktkt ya wanadam weng walioumbwa na mungu.
BAbu waisrael ni ibrahim ktk damu lakin cc Watu wa mataifa mengne ibrahim ni babu yetu ktk imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…