Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

huwezi kuelewa ukiwa nje ya imani yetu,..ila ndo iko hivyo,......
 

Naona ni kwa jinsi gani fikra za muafrika bado hazijakwamka... Mzungu hana hizi fikra za israel n taifa la mungu na nchi yake kama ufaransa au uingereza sio taifa la mungu....

Otherwise hutumia concept hizi kutunyonya kwa ujing wetu

Wake up guys
 
yale yaliandikwa yatatokea ndugu,...kama mdau wa bible,....ktk ezekiel yameandikwa yote
 
ukio sahihi,...lile ni taifa la Mungu,...na Mungu alihaidi kuwa atakayelilaani Israel atalaaniwa na atakaelibariki,..nae atabarikiwa,...iko hivyo

Evans with all due respect,yaani wewe unaamini Israel ni taifa la mungu zaidi kuliko Tanzania?Yaani haya mataifa mawili hayana usawa wowote kwa Mungu?Kwa kosa gani hasa Mtanzania alilomkosea huyo Mungu kiasi cha kumuweka daraja la chini namna hiyo?

Hii concept haingii akilini kabisa,put the book down and let us discuss this like civilized human beings

Haiwezekani ukanipa concept ya kibaguzi namna hiyo halafu nikuone wa maana,huo mstari wa kibaguzi namna kwenye biblia nitauruka kwa makusudi na alieuandika kwakweli atakua ana matatizo...huu ni unyama mbaya sana,kuambukiza wanadamu ubaguzi mbovu namna hii
 
Naona ni kwa jinsi gani fikra za muafrika bado hazijakwamka... Mzungu hana hizi fikra za israel n taifa la mungu na nchi yake kama ufaransa au uingereza sio taifa la mungu....

Otherwise hutumia concept hizi kutunyonya kwa ujing wetu

Wake up guys

Daudi upo sahihi kabisa...hizi dini wamezijenga hawa weupe ili wajiweke daraja la juu...na nasikia walibadili vifungu makusudi kuweka ubaguzi wao wazi....

Sasa unakuta mndengereko hapa badala ya kumsaidia mndengereko mwenzake anakimbilia kumwabudu Myahudi eti dini ndio imemwamuru,huu ni wehu
 
huwezi kuelewa ukiwa nje ya imani yetu,..ila ndo iko hivyo,......

Imani gani Evans?Imani inayokuambia mungu ni mbaguzi namna hiyo si ya kweli......

Ndio maana unaambiwa imani unakua nayo wakati unasali,ila unapokua na wanadamu wenzako weka uanadamu mbele upuuzi mwingine nyuma...

Huwezi niambia niipende Israel zaidi ya Tanzania,huo ni uwehu seriously...na pia huwezi niambia taifa mungu alilonipa ni la daraja la chini mbele ya mungu huyo huyo wakati sijachagua kuzaliwa tanzania,ni taifa kanipa yeye,sasa ananibagua kivipi?

Hii biblia hawa wehu wamebadili vifungu makusudi kuleta huu ubaguzi wa kishetani kabisa...na aliebadili ningekua namjua ningemchoma mimi binafsi,huwezi jengesha chuki na ubaguzi huu kwa mataifa aliyoyajenga yeye yeye mungu mwenyewe
 
point ni hii,...unaifahamu asili ya israel????,..asili ni yakobo ambaye ni mtoto isaka,..isaka ni mtoto wa ibrahim,..Mungu alianza kusema na Ibrahim,,ntakufanya uwe taifa kubwa,.Mungu pia akasema na isaka pia kwa hizo habari,..na baadae Yakobo,..Mungu akasema nae ntatiza ahadi yangu niliyosema,..Mungu akamwambia yakobo utaitwa israel,...tangu pale ndo israel ikazaliwa,...hiyo fact ya kwanza,..2.akamwambia litabarikiwa taifa lako na atakaye lilaani nae ntamlaani na atakaelibariki nae ntambariki,..uwezi kujilinganisha Tz na israel WAKATI Mungu anasema na waasisi wa taifa husika,..alafu ukizungumzia spiritual issues ni mambo tafauti na utaifa,...hope ur christian soma bible deeply bt usisome uwe mbishi huwz kuambua kitu bt soma indeep upate knowledge ikusaidie maishani mwako
 
yale yaliandikwa yatatokea ndugu,...kama mdau wa bible,....ktk ezekiel yameandikwa yote


Ndugu yangu hebu epuka kutumia kichwa kwa kufuga nywele tu.... Israel ni miongoni mwa nchi zenye ubaguzi wa hali ya juu kwa ndugu zetu weusi walioenda kutafuta maisha huko....

Unaposema ni taifa la mungu sikuelewi... Angalia hii video halafu uone watu weusi wanavyobaguliwa na waisrael

 
umepotea ndugyu,.....kwahiyo unashawishi tusiamini ktk Mungu sio,....dini zoote zimeletwa na wageni,..na dini zimekuja na maandiko na maandiko yanatusaidia kuishi ktk misingi haswa tusitende dhambi,..sasa ww ndudu yangu utakuwa shetani basiiiii,...hutaki tuamini uwepo wa Mungu,...doohh
 


Endelea kutumia kichwa kwa kufugia nywele
 
ISRAEL NI TAIFA TEULE ALILOLICHAGUA MUNGU.Toka amewatoa mikonon mwa Wamisri

Huu ni ubaguzi...ni chuki unaijenga kati ya wanadamu kwa wanadamu...huwezi kua na upendeleo kwa kijuha namna hiyo...yaani mataifa mengine ni sub humans waisrael ni humans zaidi?

Mimi ni mkristo ila mafundisho ya kibaguzi kama hayo hua niliya delete kabisa...ninachoamini binadamu wote ni sawa mbele ya mungu,hamna wa daraja ya juu au chini,mtu utahukumiwa kutokana na matendo yake hamna upendeleo,hizi zingine ni propaganda zao za kujipendelea kwanza wao ndio wameiandika biblia kwa mikono yao,lazima wajipendelee
 
ndiyo taifa linaloishi kwa kubebwa na kulialia sana.
na ndiyo taifa lisilo na eneo la hata nchi moja ya ardhi halali
 
Nchi pekee inayochukiwa na majority ya watu Duniani lakini inadunda mpaka leo
Israel ni nchi ambayo imegoma kuondolewa katika ramani ya dunia ukilinganisha na vita ambazo zimeikabili kama zile zilizofuta himaya mbalimbali duniani
 
mimi sikatai,...kama mtu anambagua mwenzie si binaadamu huyo nae atahukumiwa2,...Mungu apingani na maandiko yake,...bible ktk mithali inasema asiye na akili humdharau mwenzie,........na sinamaana muisrael akifanya dhambi hatohukumiwa BIG NOOOO.,,,,,,,....hukumu ya Mungu ni haki,..ukienenda Mungu anavyotaka hutohukumiwa,..iko hivyo hata kwa waisraeli,..wanaofanya hukumu iko palepale,...na sio waisrael wote wabaguzi,..muisrael aliyeokoka hawez kufanya dhambi..,,ya dharau
 
Ukisema ni atheist halafu upande mwingine inafahamika Gulion alikuwa Zionist leader naona kama unachanganya mambo...huko kwingine sina shida nako hapo tu...IBARIKIWE ISRAEL,BLESSED BE THE LAND OF ISRAEL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…