Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

Huu ni ubaguzi...ni chuki unaijenga kati ya wanadamu kwa wanadamu...huwezi kua na upendeleo kwa kijuha namna hiyo...yaani mataifa mengine ni sub humans waisrael ni humans zaidi?

Mimi ni mkristo ila mafundisho ya kibaguzi kama hayo hua niliya delete kabisa...ninachoamini binadamu wote ni sawa mbele ya mungu,hamna wa daraja ya juu au chini,mtu utahukumiwa kutokana na matendo yake hamna upendeleo,hizi zingine ni propaganda zao za kujipendelea kwanza wao ndio wameiandika biblia kwa mikono yao,lazima wajipendelee
paulo ameandika vitabu vingi katika bible,..ikla hawamkubali,..so whats yo point ndugu.,,,,hapo ni kujua iko hivyo,..wewe unayeyakataa haya ni binadamu bt ukweli uko hivyo mkuuu
 
Mkuu soma biblia inamajibu yote ilikuwa ivo inamaana kama asingekufa kwa ajiri ya dhambi zetu tusingekuwa tumesamehewa dhambi zetu na yeye aliyajua hayo kuwa atakufa msarabani ili tukombolewe kupitia yeye amina
Saaa aliyefanikisha zoezi hili la kuteswa mbona mnamuita msaliti?
 
point ni hii,...unaifahamu asili ya israel????,..asili ni yakobo ambaye ni mtoto isaka,..isaka ni mtoto wa ibrahim,..Mungu alianza kusema na Ibrahim,,ntakufanya uwe taifa kubwa,.Mungu pia akasema na isaka pia kwa hizo habari,..na baadae Yakobo,..Mungu akasema nae ntatiza ahadi yangu niliyosema,..Mungu akamwambia yakobo utaitwa israel,...tangu pale ndo israel ikazaliwa,...hiyo fact ya kwanza,..2.akamwambia litabarikiwa taifa lako na atakaye lilaani nae ntamlaani na atakaelibariki nae ntambariki,..uwezi kujilinganisha Tz na israel WAKATI Mungu anasema na waasisi wa taifa husika,..alafu ukizungumzia spiritual issues ni mambo tafauti na utaifa,...hope ur christian soma bible deeply bt usisome uwe mbishi huwz kuambua kitu bt soma indeep upate knowledge ikusaidie maishani mwako

Mkuu naona umelewa dini kabisa,huwezi kua sober.

Mimi ni mkristo naamini kuna mungu na hua nasali....ila huwezi niletea stori za kunishusha utu wangu mbele ya wanadamu wengine halafu uniambie Mungu kasema,utakua una kichaa.

Kuzaliwa Mtanzania au wa taifa lolote huna nayo control,imetokea umezaliwa Mtanzania,ni utaifa Mungu kakupa halafu wakati huo huo anakwambia wewe ni wa daraja la chini,Mungu hayupo hivyo kabisa

Na biblia wameandika wao wayahudi kwa mikono yao,kwa akili zao binafsi za kibinadamu na ukisoma ufala wao wa kibaguzi na ushenzi mwingine kama kuhalalisha utumwa nk upo ndani,mungu kakupa akili zitumie kuona ushenzi waliouchomekea

Mungu hajaandika biblia hata kidogo,ni wehu kadhaa israel waliamka asubuhi wakasema eti "waliota" ndoto mungu kawafunulia ....yaani wanaona wakisema kweli tumeandika kwa utashi wetu hamtawaamini kirahisi,yaani hawa wehu hua nachoka nao kabisa"
 
1: Ni nchi pekee duniani yenye wasomi wengi maengineer,PHDs na Graduates (135 per 10,000).

2: Mwanasayansi Albeit Einstain 1952 Alipewa ofa ya Urais wa israel lakini aliona akatae.

3; Ndio nchi nyembamba unaweza kukumbia kutoka mashariki hadi magharibi kwa masaa mawili tu.

4;Dini ya waisrael NETUREI KATA inawaunga mkono waparestina na inahubiri israel ivunjwevunjwe kwa amani ili waparestina wabaki na nchi yao.

5:Baba wa taifa na mwanzilishi wa israel hii ya leo alikuwa ni ethiest/AAMINI UWEPO WA MUNGU aliitwa David Ben Gulion

6:Jiji la yerusalem tangu liwepo, limeshabomolewa na kuharibiwa kabisa mara mbili, kutekwa mara 23, Kuvamiwa mara 52, kutekwa na kukombolewa mara 44 na ni jiji kongwe sana duniani.

7:Chanzo cha uwepo wao ni familia ya jamaa aliitwa YAKOBO aliyekuwa na watoto 12. Familia moja ikazaa taifa.

Updates

8: ni Benjamin Ben Gulion founder wa israel aliyeahidi dunia ataibadili jangwa LA negevu kuwa bustani na kuilisha dunia.
Kwa kuonyesha mfano alienda kuishi jangwani kubbuz sda boker nyumba yake. Leo kibbuz ndio kittovu cha kulimo duniani. Kuna makampuni lukuki ya tech na dunia nzima kanaenda kujifunza kilimo na ufugaji lililokuwa jangwa ambalo waarabu waliliona kama sio kitu.

9: karibu uchumi Wa dunia nzima na matajiri wakubwa duniani ni waisrael na wanasaikolojia chamani chao. Wanamiliki taasisi lukuki za kipesa. Wao wanaamini Israel ni damu sio ardhi popole alipo nyumbani kwanza
video kwangu imegoma
 
[QUOTE="LebronWade,.ninachoamini binadamu wote ni sawa mbele ya mungu,hamna wa daraja ya juu au chini,mtu utahukumiwa kutokana na matendo yake hamna upendeleo,hizi zingine ni propaganda zao za kujipendelea kwanza wao ndio wameiandika biblia kwa mikono yao,lazima wajipendelee[/QUOTE]

Israel ni Taifa la Mungu na hakuna haja ya kuwa chukia...... habari njema ni kwamba kwa njia ya sadaka ya Imani ya Ibrahimu wote tumefunguliwa milango kuwa sawa sawa na maneno yako. Hata biblia inasema hivyo kwamba wote tumehesabiwa haki ktkt kristo Yesu ila hatuzuii physical existence ya Israel na nchi yao waliyopimiwa
 
Tangu mwaka 2000 israel imeshawaua wapalestina zaidi ya 9000, Hivi hao wana wa mungu mbona wana roho mbaya hivi???
ina maana katazo la kutokumua mwenzako wao haliwahusu?

Wapalestina nao tangu mwaka huo wamekwisha waua waisrael zaid ya 1000.... Hivi hiyo mungu wao ina maana ameshindwa kuwazuia hawa watu kuuana???

Hebu tuwe na fikra nje ya vitabu vilivyoandikwa na wazee wa kiyahudi wakiwa wamelewa divai

Soma hapa upanue uelewa Israelis and Palestinians Killed since 9/29/2000
 
Mkuu naona umelewa dini kabisa,huwezi kua sober.

Mimi ni mkristo naamini kuna mungu na hua nasali....ila huwezi niletea stori za kunishusha utu wangu mbele ya wanadamu wengine halafu uniambie Mungu kasema,utakua una kichaa.

Kuzaliwa Mtanzania au wa taifa lolote huna nayo control,imetokea umezaliwa Mtanzania,ni utaifa Mungu kakupa halafu wakati huo huo anakwambia wewe ni wa daraja la chini,Mungu hayupo hivyo kabisa

Na biblia wameandika wao wayahudi kwa mikono yao,kwa akili zao binafsi za kibinadamu na ukisoma ufala wao wa kibaguzi na ushenzi mwingine kama kuhalalisha utumwa nk upo ndani,mungu kakupa akili zitumie kuona ushenzi waliouchomekea

Mungu hajaandika biblia hata kidogo,ni wehu kadhaa israel waliamka asubuhi wakasema eti "waliota" ndoto mungu kawafunulia ....yaani wanaona wakisema kweli tumeandika kwa utashi wetu hamtawaamini kirahisi,yaani hawa wehu hua nachoka nao kabisa"
sasa unaenda kusali ili iweje,...kanisani zinatumika biblia,..wewe walioandika,..yani wameshushiwa maandiko na Mungu unawaita wehu,...take care ndugu,...Mungu aliwatumia manabii wake kuandika bible,...ukianglia paulo anawaonya wayahudi yaani waisrael kuwa wasijione bora kuliko wengine,...katika warumi kuanzia sura ya3,..kawaambia wasijione bora kuliko wengine na Mungu ni wa haki,..wewe leo mitume wa Mungu unawaita wehuu,..angalia kijana usiwe na kiburi cha uzima,...hukumu ipo,...leo hii unawatukana mitume wa Mungu,...,,...Mungu akusamehe hujui utendalo,...unaenda kusali nini sasa weweeeee,..kama huamini ktk bible,...
 
mimi sikatai,...kama mtu anambagua mwenzie si binaadamu huyo nae atahukumiwa2,...Mungu apingani na maandiko yake,...bible ktk mithali inasema asiye na akili humdharau mwenzie,........na sinamaana muisrael akifanya dhambi hatohukumiwa BIG NOOOO.,,,,,,,....hukumu ya Mungu ni haki,..ukienenda Mungu anavyotaka hutohukumiwa,..iko hivyo hata kwa waisraeli,..wanaofanya hukumu iko palepale,...na sio waisrael wote wabaguzi,..muisrael aliyeokoka hawez kufanya dhambi..,,ya dharau
Sasa wewe kwa fikra zako unafikiri kuna Muisrael alieokoka? Huko Israel hawamjui Yesu wala Ukristo sasa sijui iyo pepo wataiona vipi? Ukristo israel ni 2% tu.
 
Mkuu naona unaota...kwanza stori ni ya uongo na Mungu hana mahusiano ya upendeleo na watu au kundi maalumu la jamii inayoitwa Wayahudi..

Hizi ni kool-Aid watu mnakunywa...Dunia nzima ni ya mungu na watu wote wana-matter kwa mungu the same way,acheni kuota
Mkuu unaakili sana. Tatizo LA ndugu zetu weñgi bibilia wanasomewa.
Ukifuatilia kwa umakini yesu alimaliza yote, na
Kila Mungu anachosema kina masharti.

If...... Then......

hakuna cha myahudi, wala myunani. Alikuja kuondoka kiambaza kikichopo kati wayahudi na wengine.

Mimi ni mkristo ninaamini binadamu wote ni sawa mbele ya Mungu. Myahudi aliyemkataa yesu atachomwa sawasawa na mchaga anayetapeli.

Ninawakubali wayahudi kama watu wabunifu, hizo akili walikuwa nazo hata wagiliki, wapi wachina pia.
Hata sisi Tanzania tukiamua tutafanya zaidi ya wayahudi.

Nyingine zote ni story za vijiweni. Kujiona bora kuliwafanya wakimbilie kwenye hekaru miaka 70ac wakichangia Mungu atawaokoa wakati yesu aliwaonya mathayo 24, waliuwawa wote kama mishikaki na jemedali Nero kutoka Roma.

Ndio maana hata karl Marx aliachana na dunia za kizayuni akawa mkristo, japo baadae akaanza kuabudu mashetani na kuacha kuamini uwepo Wa Mungu makusudi, favour ya nini kwa mtu kama huyu.

Mungu hana upendeleo. Wote tuko sawa mbele ya kiti cha hukumu
 
[QUOTE="LebronWade,.ninachoamini binadamu wote ni sawa mbele ya mungu,hamna wa daraja ya juu au chini,mtu utahukumiwa kutokana na matendo yake hamna upendeleo,hizi zingine ni propaganda zao za kujipendelea kwanza wao ndio wameiandika biblia kwa mikono yao,lazima wajipendelee

Israel ni Taifa la Mungu na hakuna haja ya kuwa chukia...... habari njema ni kwamba kwa njia ya sadaka ya Imani ya Ibrahimu wote tumefunguliwa milango kuwa sawa sawa na maneno yako. Hata biblia inasema hivyo kwamba wote tumehesabiwa haki ktkt kristo Yesu ila hatuzuii physical existence ya Israel na nchi yao waliyopimiwa[/QUOTE]

Mkuu Balacuda unaongea kibiblia biblia as if hakuna madhara...tayari kuna sentensi ishaingia kichwani kua "Israel ni Taifa Teule" ina maana "Mataifa Mengine Yote Sio Teule" in retrospect,tayari subconsiously sisi sote ni inferior,zingine zinzofuata hapo ni stori na bla bla,sijui Yakobo,nk ,nk...tayari damage has been done,tukubaliane kihoja.

Ina maana huwezi kumuona Mungu bila kupitia Waisrael wakati si kweli..kumpata Mungu hakuna uhusiano na Waisrael,sio lazima upitie kwao....eti kupitia kwao ndio tumefunguliwa milango,tayari hapo wamejiweka mbele kimakusudi

Hii kitu wameijenga strategically kujipatia superiority,they do not give a f**ck umekombolewa kwenda mbinguni or not,tayari washashika hisia zako za uamini...mimi nimedelete ujinga wote wenye harufu ya ubaguzi na negativity zozote ndani ya biblia...aneji praise anadharau wengine on the flip side,ndio hivyo tuache ulevi huu
 
Tangu mwaka 2000 israel imeshawaua wapalestina zaidi ya 9000, Hivi hao wana wa mungu mbona wana roho mbaya hivi???
ina maana katazo la kutokumua mwenzako wao haliwahusu?

Wapalestina nao tangu mwaka huo wamekwisha waua waisrael zaid ya 1000.... Hivi hiyo mungu wao ina maana ameshindwa kuwazuia hawa watu kuuana???

Hebu tuwe na fikra nje ya vitabu vilivyoandikwa na wazee wa kiyahudi wakiwa wamelewa divai

Soma hapa upanue uelewa Israelis and Palestinians Killed since 9/29/2000
kwani wanawaua bila sababu,...
Sasa wewe kwa fikra zako unafikiri kuna Muisrael alieokoka? Huko Israel hawamjui Yesu wala Ukristo sasa sijui iyo pepo wataiona vipi? Ukristo israel ni 2% tu.
sure,...na ktk takwimu

75.4% Jewish, 16.9% Muslim, 2.1% Christian, and 1.7% Druze, with the remaining 4.0% not classified by religion, and a small Baha'i community,....Baal ni ibada ya masanam,...na watu wapo wanaoabudu sanamu,...na MUNGU alileta mitume akina ezekiel kukemea kuabudu sanamu na jua,,,...ila hadi leo watu wanaabudu sanamu,...hukumu ya Mungu ipo palepaleeeeeeee ndugu,....
 
wajerumani walidhani wayahudi ni maadui zao The holocaust is not monocausal.

According to the Holy Bible, I just see prophecy fulfilment
Unabii una asili wa ku replicate kabla ya kuja ule original
 
kwani wanawaua bila sababu,...

sure,...na ktk takwimu

75.4% Jewish, 16.9% Muslim, 2.1% Christian, and 1.7% Druze, with the remaining 4.0% not classified by religion, and a small Baha'i community,....Baal ni ibada ya masanam,...na watu wapo wanaoabudu sanamu,...na MUNGU alileta mitume akina ezekiel kukemea kuabudu sanamu na jua,,,...ila hadi leo watu wanaabudu sanamu,...hukumu ya Mungu ipo palepaleeeeeeee ndugu,....

Mkuu una justify uuaji wa binadamu yeyote?

Aisee acha dini haijakusaidia chochote
 
1: Ni nchi pekee duniani yenye wasomi wengi maengineer,PHDs na Graduates (135 per 10,000).

2: Mwanasayansi Albeit Einstain 1952 Alipewa ofa ya Urais wa israel lakini aliona akatae.

3; Ndio nchi nyembamba unaweza kukumbia kutoka mashariki hadi magharibi kwa masaa mawili tu.

4;Dini ya waisrael NETUREI KATA inawaunga mkono waparestina na inahubiri israel ivunjwevunjwe kwa amani ili waparestina wabaki na nchi yao.

5:Baba wa taifa na mwanzilishi wa israel hii ya leo alikuwa ni ethiest/AAMINI UWEPO WA MUNGU aliitwa David Ben Gulion

6:Jiji la yerusalem tangu liwepo, limeshabomolewa na kuharibiwa kabisa mara mbili, kutekwa mara 23, Kuvamiwa mara 52, kutekwa na kukombolewa mara 44 na ni jiji kongwe sana duniani.

7:Chanzo cha uwepo wao ni familia ya jamaa aliitwa YAKOBO aliyekuwa na watoto 12. Familia moja ikazaa taifa.

Updates

8: ni Benjamin Ben Gulion founder wa israel aliyeahidi dunia ataibadili jangwa LA negevu kuwa bustani na kuilisha dunia.
Kwa kuonyesha mfano alienda kuishi jangwani kubbuz sda boker nyumba yake. Leo kibbuz ndio kittovu cha kulimo duniani. Kuna makampuni lukuki ya tech na dunia nzima kanaenda kujifunza kilimo na ufugaji lililokuwa jangwa ambalo waarabu waliliona kama sio kitu.

9: karibu uchumi Wa dunia nzima na matajiri wakubwa duniani ni waisrael na wanasaikolojia chamani chao. Wanamiliki taasisi lukuki za kipesa. Wao wanaamini Israel ni damu sio ardhi popole alipo nyumbani kwanza
Jambo kubwa ni kujua binadamu wote sawa mbele za Mungu na Israel historia yake ni yakobo ambaye aliambiwa na Mungu utakuwa taifa kubwa..iko hivyo na ahukumu ya Mungu ni ya haki kwa kila binadamu,....cha msingi tutende mema tuishi ktk njia Mungu anazotaka tuishi,...siku ya hukumu ipo na hakuna muisrael ambaye anafanya dhambi alaf asihukumiwe,...hukumu ya MUNGU NI ya hakiiiii,...iko hivyo
 
sasa unaenda kusali ili iweje,...kanisani zinatumika biblia,..wewe walioandika,..yani wameshushiwa maandiko na Mungu unawaita wehu,...take care ndugu,...Mungu aliwatumia manabii wake kuandika bible,...ukianglia paulo anawaonya wayahudi yaani waisrael kuwa wasijione bora kuliko wengine,...katika warumi kuanzia sura ya3,..kawaambia wasijione bora kuliko wengine na Mungu ni wa haki,..wewe leo mitume wa Mungu unawaita wehuu,..angalia kijana usiwe na kiburi cha uzima,...hukumu ipo,...leo hii unawatukana mitume wa Mungu,...,,...Mungu akusamehe hujui utendalo,...unaenda kusali nini sasa weweeeee,..kama huamini ktk bible,...
Mitume na manabii ni kama njia tu. Maana hakuna hata moja walilolisema kwa ujanja wao.
Kikubwa wote tuko sawa mbele za Mungu. Kuwaona ni bora eti kwa sbb walitumia kutufikishia ujumbe japo wao wameudharau na kudharau wengine ni kutokujielewa.
Kwa Bahati mbaya hii tabia imeendelea hata kwa wakanisa ya kisasa ya wokovu mtumishi anajiona bora na wafuasi wanamtukuza na wengine wanatumia hatua ya kumuita BABA mbele za watu kuliko kumuinua yesu anayemtumia. Hii ni tabia ya ibirisi.

Nawapenda waisrael hawa sio kwa lolote zaidi ya kuwa mfano bora Wa matumizi ya bongo na ubunifu Wa mwanadamu.
Nje ya hapo ni utumwa Wa fikra.
 
Back
Top Bottom