Israeli moja ya mataifa ya kwanza kabisa kuhalalisha Ushoga duniani, Isareli ndo nchi ya kwanza kuhalalisha Ushoga jeshini na juzu katu USA kafuatia.
Israeli ni moja ya mataifa yanato ongoza kwa kuwabagua Waafrica, Isaralei inaubaguzi wa kiwango cha juu kabisa kwa Waafrica, Haitakiwa waafrica waishi Israeli na huwa wanafukuzwa au hata kuuwawa, Wa ethipoia wanateswa sana Isareli na wameisha katazwa kuzwaliana.
Israeli ndo Taifa pekee lililo kuwa linawaunga mkono Makaburu wa Africa kusini kipindi cha ubaguzi wa rangi kwa nguvu zote, ingawa hata Ulaya ilikuwa inaegemea kwa makaburi ila Isaraeli walikuwa ni zaidi.
Tatizo la Wakristo wenzangu wa Bongo tumeshikiwa akili, tumelishwa maneno na kuamini, ukifuatilia matendo ya nchi ya Isaraeli utagundua kwamba huu uteule ni siasa tu.
Acheni ksuhiukiwa akili someni vitabu