Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

Hivi bado kuna watanzania bado wana haya mawazo magando yaliyojaa ujinga wa zama za mawe za kati.... Kwa taarifa yako ukristo israel n 2% tu ya waisraeli... Soma hapa Religion in Israel - Wikipedia, the free encyclopedia

Ili ujue ujue hili taifa lina wenye nalo kidin na sio ukristo wala uislam....

Hebu niambie mungu alikuwa wapi hitler alivyowateketeza....
Sawa sawa DAUD ....ungejiita Mwanamalunde kuliko DAUD ningekuelewa comments zako...
 
1: Ni nchi pekee duniani yenye wasomi wengi maengineer, PHDs na Graduates (135 per 10,000).

2: Mwanasayansi Albeit Einstain 1952 alipewa ofa ya Urais wa Israel lakini aliona akatae.

3; Ndio nchi nyembamba unaweza kukumbia kutoka mashariki hadi magharibi kwa masaa mawili tu.

4; Dini ya waisrael NETUREI KATA inawaunga mkono wapalestina na inahubiri Israel ivunjwevunjwe kwa amani ili wapalestina wabaki na nchi yao.

5: Baba wa taifa na mwanzilishi wa Israel hii ya leo alikuwa ni ethiest/AAMINI UWEPO WA MUNGU aliitwa David Ben Gulion.

6: Jiji la Yerusalem tangu liwepo, limeshabomolewa na kuharibiwa kabisa mara mbili, kutekwa mara 23, Kuvamiwa mara 52, kutekwa na kukombolewa mara 44 na ni jiji kongwe sana duniani.

7: Chanzo cha uwepo wao ni familia ya jamaa aliitwa YAKOBO aliyekuwa na watoto 12. Familia moja ikazaa taifa.

8: Ni DAVID Ben Gulion founder wa Israel aliyeahidi dunia ataibadili jangwa la Negevu kuwa bustani na kuilisha dunia.

Kwa kuonyesha mfano alienda kuishi jangwani kubbuz sda boker nyumba yake. Leo kibbuz ndio kittovu cha kilimo duniani. Kuna makampuni lukuki ya tech na dunia nzima yanaenda kujifunza kilimo na ufugaji lililokuwa jangwa ambalo waarabu waliliona kama sio kitu.

9: Karibu uchumi wa dunia nzima na matajiri wakubwa duniani ni waisrael na wanasaikolojia chama ni chao. Wanamiliki taasisi lukuki za kipesa. Wao wanaamini Israel ni damu sio ardhi, popote alipo
 
nina wasiwasi na hapo kwenye red hata hivyo wale wapumbavu wa black septemba wanawajua hawa jamaa
nina wasiwasi na hapo kwenye red hata hivyo wale wapumbavu wa black septemba wanawajua hawa jamaa

Hahahaa namaanisha kidons waliitengeneza rasmi na kuipa jina tofauti na nchi nyingine ambazo hizi assasins unit zinakuwepo ila ni kwa usiri mkubwa.

By the way hata wale Iranian Nuclear scientists wanawafahamu vizuri sana walikuwa wanapotea mmoja mmoja.

Their motto is to ""TERRORISE THE TERRORISTS ""
 
Naipenda sana Israel,Ni taifa linalojivunia wanasayansi wake;Wapo imara kila kona;Ukiwachezea rafu wanakuadhibu bila mzahaa!;Waliomzunguka wote ni maadui na wa naiogopa Israel kuli IS.
imenilazimu niwashe bundle nikujibu kukuambia kuwa uache unafiki. ati unawaogopa kuliko IS, hivi ukikutana na IS mmoja utakojoa lita ngapi?
 
sasa unaenda kusali ili iweje,...kanisani zinatumika biblia,..wewe walioandika,..yani wameshushiwa maandiko na Mungu unawaita wehu,...take care ndugu,...Mungu aliwatumia manabii wake kuandika bible,...ukianglia paulo anawaonya wayahudi yaani waisrael kuwa wasijione bora kuliko wengine,...katika warumi kuanzia sura ya3,..kawaambia wasijione bora kuliko wengine na Mungu ni wa haki,..wewe leo mitume wa Mungu unawaita wehuu,..angalia kijana usiwe na kiburi cha uzima,...hukumu ipo,...leo hii unawatukana mitume wa Mungu,...,,...Mungu akusamehe hujui utendalo,...unaenda kusali nini sasa weweeeee,..kama huamini ktk bible,...
Mtu hahitaji Bible kwenda kusali. Anahitaji Imani kwa Mungu tu.
Bible ni stori tu hazilupeleki popote.
 
Nani alijenga mahekalu ya Yelusarem?? Unganisha historia na DNA uone nani anahusika kwa maendeleo ya kanaan.

Waisraeli wanadaiwa kutafuta ardhi yao yenye alama za kufikirika na kusadikika,wanafika eneo fulani wanalowea kama makaburu pale "refueling place".

Wanapapenda kwa kuwa hali ya hewa ni "very condusive", wanawakuta wenyeji wanaishi nao, baadae wanadai ni kwao, na sisi WaTz wote tunaungana na wazawa na wenyeji kuwaita makaburu wageni.

Halafu tuhalalishe taifa "LOWEZI", tena baguzi kuliko!, kwa kusema ISRAEL ni Taifa na lina ardhi.

Hivi wanatafutaje kwao na asiwepo hata babu wa babu yao mmoja akawaambia "kwenu huku/hapa?

Wanakuta ardhi ya watu wakalia kwa nguvu wanadai hapo ndipo kwao, Watumwa wakubwa.

Hata hapa na nyinyi munabeba akili za kitumwa kwa msukumo wa imani wakati israeli hakuna imani munayoidhani, kwakuwa uwepo wake ni asilimia ndogo sana ,sawa na kuitafuta kwa darubini.
 
Thanks kaka. Nimewaza hata kabla ya kugugo nimegundua terrorism term ambayo ni too subjective. It depends na how you narrate it. Nimekuelewa kiongozi wangu na nashukuru umejibu kwa hekima kubwa.
Pia kuna mdau kachangia kwamba mosad ni most trained and well fed na wana kitengo maalum cha assassins. Hapo nikapata maana halisi uliyoikusudia na nakuunga mkono.
Netanyahu Benjamin pia ni mmoja kati ya ASSASSINS,kwakuwa alikuwa mosad na alitekeleza operesgen kadha katika nchi za scandinavia kwa kuwauwa wafadhili na masterminds wa kipalestina huko.
Na mwenyewe alikuwa akielezea jinsi alivyovaa kama mwanamke kwenda kumuua mwanaharakati mpanga mipango wa kipalestina.
 
Ukisema ni atheist halafu upande mwingine inafahamika Gulion alikuwa Zionist leader naona kama unachanganya mambo...huko kwingine sina shida nako hapo tu...IBARIKIWE ISRAEL,BLESSED BE THE LAND OF ISRAEL

Zionism is a political movement not a religious one.
 
HAKUNA TAIFA MALICHUKIA DUNIANI KAMA ISRAEL KUFIATIA MAEREKANI,SIZIPENDI HIZI NCHI,LAKINI ANYWAY.
ISRAEL NA MAREKANI FANYENI MTAKAVYO FANYA UISLAMU UTASIMAMA DAIMA.
 
Ni taifa Lenye watu wenye jitihada ya kutafuta maarifa Ndio maana wakatuzunguka kwa kuqndika vitabu kuwa wamebarikiwa na ni Taifa teule. Hili halipo ni shauku ya kutafuta maarifa na kujifunza Mengi ndo kumewaweka Bora
 
Facts ya 3 ni uongo! Nchi haiwezi ikaonekana kwenye ramani ya dunia ukaikimbia kwa masaa mawili ukaimaliza. Zanzibar yenyewe kwenye ramani ya duniani haionekani, nenda kakimbia uone kama hujamaliza miezi kuimaliza.....

kutumia hisia na kuconclude ni uongo hauwezi kufanikiwa kwa lolote mkuu.

angalia hata ramani, hujajiuliza hata utakimbia lini. hilo ni moja.
Huji
FourMaps2.png

Mimi nimekufanyia hiyo kazi.
the current thinnest point ya israel ina 15KM width. Kwa mtu mzembe anaweza kukumbia kwa saa mbili ila a
bayi enzi zake hapo ni dakika 45 tu au chini.
 
Tangu uanze kuichukia israel umefaidika nini?
Wewe hapa bongo unachukia je wale wapalestine wa Gaza watasemaje?
Tangy uipende izraeli wamekupa nini kwa kuipenda huko?bora nimeweka wadhi naichukia iazaeir kwa kuwaunga Wapalestinian kwa Yale wanayofanyiwa.Poor you!!ovyoooooo!!
Soma dondooo namba 4.
 
Saudia, Quatar, Turkey Egypt Japokuwa ni mataifa ya kiarabu lakini yanaitambua israel sembuse sisi wabongo??
Ama kweli umelaaniwa
Utakuwa muumini mpyampya huko walipokubrain wash. Ndio nyie huwa mnaenda kuhiji ukidhani kuna chochote cha kiimani unaongeza.
I spend Half of my time investigating and reading biblical truth, I trust bible and what you are saying is not biblical mdau.
"amelaaniwa amtumainiaye mwanadamu huku Moyoni mwake amemuacha Mungu" Huelewi hata Mungu/Yesu alichokifanya msalabani ni bure kabisa
 
HAKUNA TAIFA MALICHUKIA DUNIANI KAMA ISRAEL KUFIATIA MAEREKANI,SIZIPENDI HIZI NCHI,LAKINI ANYWAY.
ISRAEL NA MAREKANI FANYENI MTAKAVYO FANYA UISLAMU UTASIMAMA DAIMA.
tukiacha mambo ya udini.

we need to appreciate their innovation na mambo mengi mazuri walio nayo.
Tusiwe na Total Chuki wakati huohuo unatumia simu zimetengenezwa nao, unatumia JF ambayo source code wao, kila kitu ni chao. kwa hili watendee haki. Kidini baki na msimamo wako
 
Hapo namba 6, jiji la Yerusalemu kutekwa mara 23, kutekwa na kukombolewa mara 44 ?
 
Ndio.maana Tanzania tumelaaniwa kutokana na serikali yetu Kuvunja uhusiano na Israel na kukumbatia wapalestina

Mchaga gani mwehu hivi,lbda umelaaniwa wewe hapo binafsi...yaani huna justification yoyote zaidi ya vitu vya kufikirika kichwani mwako....Mungu hawezi kua mbaguzi namna hiyo
 
Zaidi ya nchi NNE ziliitega Israel Na mabom makubwa kutoka kila upande mabom ambayo yangelipuka baada ya Massa matatu
Lkn kabla ya mda uliotegeshewa haujafika kimbunga toka ilipo Israeli kiliyavurumisha yale mabomu na kuleta madhara kwa nchi zilizotega hayo mabomu

Kama Israel isingekuwepo duniani Mungu angekuwa ametuhukum amini usiamini Israeli ndio pona ya ulimwengu huu
Nchi gani hizo? Tutajie na sie tufaham zaidi
 
Mtu hahitaji Bible kwenda kusali. Anahitaji Imani kwa Mungu tu.
Bible ni stori tu hazilupeleki popote.
imani ndo inakupeleka mbinguni,..we vp,..bible imeandika yatupasayo kutenda na kuishi ktk misingi itupasayo kuishi bila kusomabible utajuaje kutenda ktk mema yaliyoandikwa ?? think big ktk hili
 
Back
Top Bottom