Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

tukiacha mambo ya udini.

we need to appreciate their innovation na mambo mengi mazuri walio nayo.
Tusiwe na Total Chuki wakati huohuo unatumia simu zimetengenezwa nao, unatumia JF ambayo source code wao, kila kitu ni chao. kwa hili watendee haki. Kidini baki na msimamo wako
Uwiiiii kwaio suala la kukutengenezea Ukimwi na Ebola na internet explorer ambavo ni hatari kwa life lako we unaona poooooooooaaaaa na kurizika.
 
tukiacha mambo ya udini.

we need to appreciate their innovation na mambo mengi mazuri walio nayo.
Tusiwe na Total Chuki wakati huohuo unatumia simu zimetengenezwa nao, unatumia JF ambayo source code wao, kila kitu ni chao. kwa hili watendee haki. Kidini baki na msimamo wako
Uwiiiii kwaio suala la kukutengenezea Ukimwi na Ebola na internet explorer ambavo ni hatari kwa life lako we unaona poooooooooaaaaa na kurizika.Kapimwe kwanza akili India.
 
The name "Jerusalem" occurs 806 times in the Bible, 660 times in the Old Testament and 146 times in the New Testament; additional references to the city occur as synonyms.
 
Kwahiyo kuipenda Israel ni kumaanisha kuwa Maandiko sio ya kweli??!!
Wanaoamini ktk uwepo wake na historia yake kutoka yakobo hadi real israel,..ndo watakaoipenda,...actually mtu asiyeamini uwepo wa Yesu hawez kuipenda israel,..najua ninyi nyote hamuamini uwepo wa Yesu,..thats y
 
we jamaaa,..unaamini uwepo wa YESU?
Yesu ni msela aliyekuwepo tu miaka mingi iliyopita.
Kikubwa yeye alikuwa amejitambua/anajua vizuri kutumia nguvu yake ya ndani. Alifia India miaka hiyo, ila wajanja wakatengeneza vitabu na kuudanganya ulimwengu kuwa alifia Israel na kufufuka eti
 
[QUOTE="LebronWade,.ninachoamini binadamu wote ni sawa mbele ya mungu,hamna wa daraja ya juu au chini,mtu utahukumiwa kutokana na matendo yake hamna upendeleo,hizi zingine ni propaganda zao za kujipendelea kwanza wao ndio wameiandika biblia kwa mikono yao,lazima wajipendelee

Israel ni Taifa la Mungu na hakuna haja ya kuwa chukia...... habari njema ni kwamba kwa njia ya sadaka ya Imani ya Ibrahimu wote tumefunguliwa milango kuwa sawa sawa na maneno yako. Hata biblia inasema hivyo kwamba wote tumehesabiwa haki ktkt kristo Yesu ila hatuzuii physical existence ya Israel na nchi yao waliyopimiwa[/QUOTE]
kwaiyo sisi mataifa mengine ni ya shetani..?
 
Yesu ni msela aliyekuwepo tu miaka mingi iliyopita.
Kikubwa yeye alikuwa amejitambua/anajua vizuri kutumia nguvu yake ya ndani. Alifia India miaka hiyo, ila wajanja wakatengeneza vitabu na kuudanganya ulimwengu kuwa alifia Israel na kufufuka eti
kama unaamini hivyo,...hamna haja kukuelekeza,...naamini ukweli unaujua ila umeufanya moyo wako kuwa mgumu,..MUNGU akusaidie,..
 
Mkuu soma biblia inamajibu yote ilikuwa ivo inamaana kama asingekufa kwa ajiri ya dhambi zetu tusingekuwa tumesamehewa dhambi zetu na yeye aliyajua hayo kuwa atakufa msarabani ili tukombolewe kupitia yeye amina
Hahahahahah inaonekana huielew bibilia umekarrsha aya ww
 
Back
Top Bottom