evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
kimjazacho mtu ndicho kimtokacho,...kama unawaza pombe na bangi,...haya mambo huwezi kuelewa,never....haya mambo unahitaji neema ya Mungu,...ili uelewe kama huelewi jua huna neema wewe,....najua neno limeingia moyoni mwako na hata ukiendelea kubisha mbegu ishaingia moyoni one day hope Mungu atasema naweweHizi dini zenu zina alcohol kubwa kuliko hata piwa 😀
Au ni zaidi ya chaarusha.