Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Huwa nashindwa kuelewa hili tatizo husababishwa na nini, yaani unakwenda kwenye duka la mtu kununua kitu kama pikipiki au tv lakini mtu yule unaona kabisa kama anaumia roho kukuuzia kitu kile.hii husababishwa na nini wakuu?