Unaenda kumchangia mtu kwenye biashara yake lakini bado anakuwa na wivu

Unaenda kumchangia mtu kwenye biashara yake lakini bado anakuwa na wivu

Huwa nashindwa kuelewa hili tatizo husababishwa na nini, yaani unakwenda kwenye duka la mtu kununua kitu kama pikipiki au tv lakini mtu yule unaona kabisa kama anaumia roho kukuuzia kitu kile.hii husababishwa na nini wakuu?
Duuh hatari mkuu
 
Tanzania swala la customer ni tatizo sana yaani sehemu zote watoa huduma wanashida ya kuwasiliana na kumhudumia mteja sijui ndio afya ya akili hyo.
Wanajifanya eti wamevurugwa ....
 
Back
Top Bottom