Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Unaenda stationary kuscan salary slip dada wa watu akiona mshahara wenye sifuri nane anatoa huduma huku amevuta mdomoMwambie abaki navyo akasongee ugali mkuu
🤣🤣🤣🤣Jamani 🙌Unaenda stationary kuscan salary slip dada wa watu akiona mshahara wenye sifuri nane anatoa huduma huku amevuta mdomo
Masikini sisi ikiwemo wewe na Mimi ni watu wajinga Sana mtu kutokuchangamkia huwezi,kujua anapitia Nini kwa akili yake.Unaenda stationary kuscan salary slip dada wa watu akiona mshahara wenye sifuri nane anatoa huduma huku amevuta mdomo
Una ji-editUnaenda stationary kuscan salary slip dada wa watu akiona mshahara wenye sifuri nane anatoa huduma huku amevuta mdomo
Hapana mkuu hii kitu nimekutana nayo sana zaidi ya mara moja ndio maana nimekuja kuandika.....Masikini sisi ikiwemo wewe na Mimi ni watu wajinga Sana mtu kutokuchangamkia huwezi,kujua anapitia Nini kwa akili yake.
mshahara wenye sifuri nane haupo stop cheatingUnaenda stationary kuscan salary slip dada wa watu akiona mshahara wenye sifuri nane anatoa huduma huku amevuta mdomo
[emoji38] anakula 200,000,000mshahara wenye sifuri nane haupo stop cheating
Mkuu, mshahara wenye sifuri 8 kisha una-scan salary slip stationary?Hapana mkuu hii kitu nimekutana nayo sana zaidi ya mara moja ndio maana nimekuja kuandika.....
Jf ina wajinga wengi sana ujue kuna mamtu yamemsapoti eti kuna mshahara wenye figure nane[emoji38] anakula 200,000,000
[emoji1] [emoji1787] kuna kila aina ya watu humu wengi mkumbo na fuata upepoJf ina wajinga wengi sana ujue kuna mamtu yamemsapoti eti kuna mshahara wenye figure nane
Tanzania swala la customer ni tatizo sana yaani sehemu zote watoa huduma wanashida ya kuwasiliana na kumhudumia mteja sijui ndio afya ya akili hyo.Huwa nashindwa kuelewa hili tatizo husababishwa na nini, yaani unakwenda kwenye duka la mtu kununua kitu kama pikipiki au tv lakini mtu yule unaona kabisa kama anaumia roho kukuuzia kitu kile.hii husababishwa na nini wakuu?