Mzungu_bahili Senior Member Joined Oct 24, 2019 Posts 174 Reaction score 420 Jun 3, 2023 #21 Mwizukulu mgikuru said: Huwa nashindwa kuelewa hili tatizo husababishwa na nini, yaani unakwenda kwenye duka la mtu kununua kitu kama pikipiki au tv lakini mtu yule unaona kabisa kama anaumia roho kukuuzia kitu kile.hii husababishwa na nini wakuu? Click to expand... Duuh hatari mkuu
Mwizukulu mgikuru said: Huwa nashindwa kuelewa hili tatizo husababishwa na nini, yaani unakwenda kwenye duka la mtu kununua kitu kama pikipiki au tv lakini mtu yule unaona kabisa kama anaumia roho kukuuzia kitu kile.hii husababishwa na nini wakuu? Click to expand... Duuh hatari mkuu
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 5,715 Reaction score 13,739 Jun 3, 2023 Thread starter #22 pwilo said: Tanzania swala la customer ni tatizo sana yaani sehemu zote watoa huduma wanashida ya kuwasiliana na kumhudumia mteja sijui ndio afya ya akili hyo. Click to expand... Wanajifanya eti wamevurugwa ....
pwilo said: Tanzania swala la customer ni tatizo sana yaani sehemu zote watoa huduma wanashida ya kuwasiliana na kumhudumia mteja sijui ndio afya ya akili hyo. Click to expand... Wanajifanya eti wamevurugwa ....