Unafahamu kuna wanaume wananyanyaswa na wake zao ila hawasemi?

Mimi nyumba ndogo ilitak kuninyanyasa kwa maneno makali na maagizo yasiyo na mbele wala kichwa.
Klichompata hata yeye haelewi ilikuwaje!
 
I think the culture has framed men as strong and non-feeling creatures in a way that saying β€œ Am harassed by my wife” is a greatest weakness to reveal to the public.

We expect that men are always strong so if they are victimized by men their wifes , we think thay have something wrong and very uncommon.

Dealing with domestic violence depends much on the situation, in some areas, if you start to interfere, you will be labeled as β€œ hypocrite”

All in all the domestic violence is real for men but it is unheard
 
What would you recommend for them to be heard?
 
K
Tena mke awe TRA,sjui bandari Ana kanafasi vijeuri sana

Ova
kwa uchumi huu, hutaki mke atakaye kukusaidia katika issue za maisha... Maana hapo unaamnisha awe mama wa nyumbani, majukumu utaweza?
 
K

kwa uchumi huu, hutaki mke atakaye kukusaidia katika issue za maisha... Maana hapo unaamnisha awe mama wa nyumbani, majukumu utaweza?
Inategemea na mwanamke
Mara nyingi mwanamke akimZidi
Kipato mwanaume huwa ni shida
Nyumban kwa moto

Ova
 
Usisubiri kuwa na pesa ndio uache kunyanyasika. Hii ni mindset ya kike.
Mwanaume kuwa na standard zake as a real Man, yan unaanzaje kunyanyaswa na mwanamke? Are you really a man??
 
Inategemea na mwanamke
Mara nyingi mwanamke akimZidi
Kipato mwanaume huwa ni shida
Nyumban kwa moto

Ova
Aahh sijui hii inakuaje. Ila binafsi mwaka flan niliyumba kidogo baada ya kuavhana na mfumo wa ajira ma kuingia kwenye ujasiriamali.
Hinestly hiki ndio kipindi ambacho kwa mara ya kwanza nilimtandika sana wife tena kichapo haswa maana alianza kuleta dharau kisa income imeyumba na yeye akawa ndio kama provider home.
Nilimnyuka haswa, wala sikutaka kuleta unyonge na nikamwambia kama unataka taraka hata sasa hiv sema nikupe , usiniletee mambo yaki ya vijiweni kwemu huko hapa nyumban.

Adabu ikarud mahala pake
 
Inatokeaga sana hiyo

Ova
 
Kwa kifupi KATAA NDOA
 
Inategemea na mwanamke
Mara nyingi mwanamke akimZidi
Kipato mwanaume huwa ni shida
Nyumban kwa moto

Ova
What if hii ni mentality ya jamii kuwa mwanamke akiwa anamzidi mwanaume anakuwa na shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…