mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Siyo wote,ila kwa mwanamke wa kibongo asilimia kubwa wako hivyoWhat if hii ni mentality ya jamii kuwa mwanamke akiwa anamzidi mwanaume anakuwa na shida?
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo wote,ila kwa mwanamke wa kibongo asilimia kubwa wako hivyoWhat if hii ni mentality ya jamii kuwa mwanamke akiwa anamzidi mwanaume anakuwa na shida?
Sasa tunasaidiaje wanaume wanao pitia hizi shida?Siyo wote,ila kwa mwanamke wa kibongo asilimia kubwa wako hivyo
Ova
Ujue hiz dini ndio zinazid kuchangia huu upumbavu.Inatokeaga sana hiyo
Ova
Inategemea na mwanamke na mnaishijeSasa tunasaidiaje wanaume wanao pitia hizi shida?
WAache ufala, warud kwenye misingi ya kiume. Huu ndio ushauri. Simple ,straight and clearSasa tunasaidiaje wanaume wanao pitia hizi shida?
Umeongea kitu cha muhimu sana. Pesa imekua overrated sana. Mwanaume lazima uwe na princibles za kiume. Mpenzi wangu tuliotoka chuo alinitangulia kupata kazi kwa miaka mingi tu na bado heshima ilibaki pale pale kwa sababu ninasimama kwenye principles zangu.Usisubiri kuwa na pesa ndio uache kunyanyasika. Hii ni mindset ya kike.
Mwanaume kuwa na standard zake as a real Man, yan unaanzaje kunyanyaswa na mwanamke? Are you really a man??
Kweli kabisaUjue hiz dini ndio zinazid kuchangia huu upumbavu.
Ujue siku hiz wanaume wamekua waoga sana kuacha wake zao lakin kwa kias kikubwa siku hiz wanawake ndio wanaamua hatima za ndoa . Yan ibak ama iendelee, amuache mumewe au aendelee naye. Sasa huu ni ufala ambao wanaume wengi hawajaushtukia ama wanaogopa kukabiliana na ukwel.
Mwanamke anapaswa kujua dakika yoyote ile unamtema.Haya mambo ya baby baby haya yameharibu wanaume weng sana.
Exactly mkuu. Kuna upumbavu umeingia kwa wanaume siku hiz unakaa unaangaliaaaa, unabaki kukereka tuUmeongea kitu cha muhimu sana. Pesa imekua overrated sana. Mwanaume lazima uwe na princibles za kiume. Mpenzi wangu tuliotoka chuo alinitangulia kupata kazi kwa miaka mingi tu na bado heshima ilibaki pale pale kwa sababu ninasimama kwenye principles zangu.
Ukiteseka na mapenzi mtoto wa kiume ndio unakuwa 'simp' ?SIMPS MUST SUFFER
Sio kwel chief. Huku kujiua mzee ni hatua ya mbali kabisaa ya ujinga ambayo anafikia mwanaume mpumbavu.Ndoa hizi tabu sana yani ukiona mtu anajiua usimcheke. Ndoa yataka moyo.
Hayaja kukuta.Sio kwel chief. Huku kujiua mzee ni hatua ya mbali kabisaa ya ujinga ambayo anafikia mwanaume mpumbavu.
Mfano, sababu gani inakufanya ujiue toka kwenye ndoa???
Sasa hivi kila kitu unaambiwa tafuta hela, yaani male instincts zote zimekua replaced na hela.Exactly mkuu. Kuna upumbavu umeingia kwa wanaume siku hiz unakaa unaangaliaaaa, unabaki kukereka tu
Ujinga ujinga tu. Na u know why? Hii kitu ni mentality vijana wa hovyo wame cope na demands za kike, kwamba , girls r expnsive idiots so find money if wanna enjoy them.Sasa hivi kila kitu unaambiwa tafuta hela, yaani male instincts zote zimekua replaced na hela.
Taratibu mtaanza kuwaelewa wa Taliban kwanini hawataki kutoa nafasi kubwa kwa mwanamke waliona mbaliNdio maana tunasema watu wasiowe degree, waowe wanawake bila kujari status ya mwanamke, yani mapenzi ndio yawaunganishe siyo mwanaume kufikiria mwanamke huyu kwakuwa ana hiki na kile basi una maslahi naye huo ni udangaji tu wa kiume.
Kujiuwa kwa sababu yeyote ile ni upumbavu mtupu.Ndoa hizi tabu sana yani ukiona mtu anajiua usimcheke. Ndoa yataka moyo.
WA KWANZA NI MIMI .MKE WANGU KAWA MWANA CCMUkatili wa majumbani huwa hususani kwa wanawake ila pia sasa kuna tatizo la unyanyasaji kwa wanaume ni tatizo kubwa lakini mara nyingi halionekani, hasa kwa sababu ya jinsi wanavyokuwa wanaonekana katika jamii kwamba wanaume wanapaswa kuwa na nguvu, kujitegemea, na kushughulikia matatizo yao wenyewe.
Dhana hizi zinafanya iwe vigumu kwa wanaume kukubali kuwa ni waathiriwa na kufanyiwa ukatili katika majumbani kwao, jambo ambalo linaweza kusababisha matatizo makubwa ya afya ya akili kama vile msongo wa mawazo, wasiwasi, na hisia za upweke.
Tatizo hili linadhoofishwa na ukosefu wa rasilimali na mifumo ya msaada inayolengwa kwa wanaume. Huduma nyingi za ukatili wa majumbani zinawalenga sana wanawake, na kuwaacha wanaume bila na hio sauti ya kusema matatizo hayo. Zaidi na hayo, wanaume mara nyingi wanakutana na unyanyapaa wa kijamii na kutoaminika wanapojaribu kuripoti unyanyasaji, jambo ambalo linakatisha tamaa wengi kutafuta msaada.
Kuripoti kwa uchache ni tatizo kubwa, kwani wanaume wanaogopa kutoaminika, kudharauliwa, au kukutana na upendeleo wa kisheria na kitaasisi ambao unaweza kufanya iwe vigumu kupata maagizo ya ulinzi au ulinzi wa watoto wao. Msongo na kutegemea kuvumilia ukatili bila msaada wa kutosha vinaweza kusababisha athari za muda mrefu kwa afya ya akili, na kuzidisha athari kwa maisha yao kwa ujumla.
Ikiwa unaishi katika mazingira ambapo unashuhudia masuala kama haya katika mazingira yako, ungewashauri wanaume wafanye nini ili kukabiliana na hali hii?
===================================
Domestic violence against men is a significant but often hidden issue, primarily due to societal expectations that men should be strong, self-reliant, and able to handle their problems independently. These stereotypes make it difficult for men to admit they are victims of abuse, leading to severe mental health issues such as depression, anxiety, and feelings of isolation.
The problem is suppressed by the lack of resources and support systems tailored for men. Many domestic violence services and shelters are geared towards women, leaving men with fewer options for help. Additionally, men often face social stigma and disbelief when they do try to report abuse, which discourages many from seeking assistance.
Underreporting is a significant issue, as men fear not being believed, being mocked, or facing legal and institutional biases that can make it harder to obtain protection orders or custody of their children. The stress and trauma of enduring domestic abuse without adequate support can lead to long-term mental health consequences, worsening the overall impact on their lives.
If you're leaving in a environment where you witnesses such issues on your environment, what would you recommend Men to do so as to deal with this situation?
I once heard a group of men on social media explaining the domestic violence, but they end up being mocked online. So it is more individual decision than community one due to our culture. It is like men are expected to suffer.What would you recommend for them to be heard?
Then may be more awareness can be rised concerning this issue.... especially this month is our Month... Men Mental Month Awareness... we could share more issues concerning men issues and how they can cause depressionI once heard the a group of men on social media explaining the domestic violence, but they end up being mocked online. So it is more individual decision that community one due to our culture. It is like men ate expected to suffer.