Unafahamu kuna wanaume wananyanyaswa na wake zao ila hawasemi?

Inatokeaga sana hiyo

Ova
Ujue hiz dini ndio zinazid kuchangia huu upumbavu.
Ujue siku hiz wanaume wamekua waoga sana kuacha wake zao lakin kwa kias kikubwa siku hiz wanawake ndio wanaamua hatima za ndoa . Yan ibak ama iendelee, amuache mumewe au aendelee naye. Sasa huu ni ufala ambao wanaume wengi hawajaushtukia ama wanaogopa kukabiliana na ukwel.

Mwanamke anapaswa kujua dakika yoyote ile unamtema.Haya mambo ya baby baby haya yameharibu wanaume weng sana.
 
Usisubiri kuwa na pesa ndio uache kunyanyasika. Hii ni mindset ya kike.
Mwanaume kuwa na standard zake as a real Man, yan unaanzaje kunyanyaswa na mwanamke? Are you really a man??
Umeongea kitu cha muhimu sana. Pesa imekua overrated sana. Mwanaume lazima uwe na princibles za kiume. Mpenzi wangu tuliotoka chuo alinitangulia kupata kazi kwa miaka mingi tu na bado heshima ilibaki pale pale kwa sababu ninasimama kwenye principles zangu.
 
Kweli kabisa

Ova
 
Exactly mkuu. Kuna upumbavu umeingia kwa wanaume siku hiz unakaa unaangaliaaaa, unabaki kukereka tu
 
Ndoa hizi tabu sana yani ukiona mtu anajiua usimcheke. Ndoa yataka moyo.
Sio kwel chief. Huku kujiua mzee ni hatua ya mbali kabisaa ya ujinga ambayo anafikia mwanaume mpumbavu.

Mfano, sababu gani inakufanya ujiue toka kwenye ndoa???
 
Sasa hivi kila kitu unaambiwa tafuta hela, yaani male instincts zote zimekua replaced na hela.
Ujinga ujinga tu. Na u know why? Hii kitu ni mentality vijana wa hovyo wame cope na demands za kike, kwamba , girls r expnsive idiots so find money if wanna enjoy them.

Sasa ndio sasa, tafuta helaa tafuta helaa but then what??? Waje wakutese nazo pesa zako??.

For a real man, african man, principles should come first as a foundation for any kind of relationshiop, including love affairs.
 
Ndio maana tunasema watu wasiowe degree, waowe wanawake bila kujari status ya mwanamke, yani mapenzi ndio yawaunganishe siyo mwanaume kufikiria mwanamke huyu kwakuwa ana hiki na kile basi una maslahi naye huo ni udangaji tu wa kiume.
Taratibu mtaanza kuwaelewa wa Taliban kwanini hawataki kutoa nafasi kubwa kwa mwanamke waliona mbali
 
Ndoa hizi tabu sana yani ukiona mtu anajiua usimcheke. Ndoa yataka moyo.
Kujiuwa kwa sababu yeyote ile ni upumbavu mtupu.

Labda gaidi anayekaribia kukamatwa na Putin akijiuwa ni sawa, maana akikamatwa hai atajuta kuzaliwa.
 
WA KWANZA NI MIMI .MKE WANGU KAWA MWANA CCM
 
Taabu yote ya nini kunyanyaswa na mke wangu? Nasepa kiulaini namuachia nyumba kwa amani, manyanyaso sitaki
 
What would you recommend for them to be heard?
I once heard a group of men on social media explaining the domestic violence, but they end up being mocked online. So it is more individual decision than community one due to our culture. It is like men are expected to suffer.
 
I once heard the a group of men on social media explaining the domestic violence, but they end up being mocked online. So it is more individual decision that community one due to our culture. It is like men ate expected to suffer.
Then may be more awareness can be rised concerning this issue.... especially this month is our Month... Men Mental Month Awareness... we could share more issues concerning men issues and how they can cause depression
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…