Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Mkuu,Kila sehemu unayoenda na simu yako, kila mtaa, kila kituo. Saa 24, hata ukiwa umelala
Google imeundwa nyuma ya CIA.Mkuu,
Kama hao Google wanahifadhi taarifa za kila mwenye Android na mwenye iPhone kwenye kanzi data zao, ina maana wana mzigo mkubwa mno wa data maana ni za billions of people!
Wanazitumiaje na kwa manufaa gani?