Unafahamu kuwa Upasuaji wa Uzazi (C-Section) wa kuokoa maisha ya Mama na Mtoto ulikuwa ukifanyika Nchini Uganda kabla ya Bara la Ulaya?

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124

Your browser is not able to display this video.

Upasuaji wa kwanza wa Uzazi (C-Section) ulifanikiwa kufanyika Barani Afrika, ambapo Mama na Mtoto wote walikuwa salama, mara nyingi ujuzi huu, ingawa Daktari Mwingereza, James Barry amekuwa akihusishwa zaidi na upasuaji huu kutokea Cape Town, Afrika Kusini.

Caesarian Section (C-Section) ni upasuaji wa uzazi unaofanyika kwa mama Mjamzito kama mbadala pale Mama anaposhindwa kujifungua kwa njia ya kawaida.

Inasemekana Wabanyole, kabila kutoka Uganda, zamani wakijulikana kama Bunyoro ndo Watu wa kwanza kufanikiwa kufanya upasuaji huo bila kuhatarisha Maisha ya mama na Mtoto, ukilinganisha na nchi za Ulaya ambako walilenga kuokoa Maisha ya Mtoto peke yake enzi hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…