Unafanya coding ukiwa kwenye mazingira gani?

Unafanya coding ukiwa kwenye mazingira gani?

African Geek

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
817
Reaction score
1,470
Coders / Developers mnacode mkiwa mmejifungia chumbani au mnatembea na laptop kama mimi kwa ajili ya kubadilisha mazingira ya kazi.

Nipo zangu zanzibar nakula upepo huku kazi ikiendelea

1000157727.jpg

1000157724.jpg

1000158174.jpg
 
Picha kali sana hiyo mkuu, iPhone ngapi hiyo mkuu😁😁😁.
 
Bantu Lady ya kweli haya?

Mi nilidhani umeajiriwa kitengo kingine, 😃😃😃.

Kumbe unapigaga. Ma code eeeh wonders shall never end. ☺️🤔🤔.

Unajua siamini kama auntiee yangu anajua haya mambo.

Bro National Anthem kuwa serious mkuu 🤣🤣🤣
Ohooo ... niamini mie sasa... mwisho wa matatizo ya ku develop hapo...

Mpe kazi utaleta ushuhuda
 
Bantu Lady ya kweli haya?

Mi nilidhani umeajiriwa kitengo kingine, 😃😃😃.

Kumbe unapigaga. Ma code eeeh wonders shall never end. ☺️🤔🤔.

Unajua siamini kama auntiee yangu anajua haya mambo.

Bro National Anthem kuwa serious mkuu 🤣🤣🤣
Sijui chochote mdogo wangu. Wee unamsikiliza Ankol ananisingizia tu 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom