Unafanya coding ukiwa kwenye mazingira gani?

Unafanya coding ukiwa kwenye mazingira gani?

Hapa nipo zangu kwenye mtumbwi wa kizungu nakula kipupwe na jua la manjano nikiwa naelekea zangu Dar mji wa mahangaiko.

Je wewe unacode ukiwa kwenye mazingira gani?
1000158174.jpg

1000158175.jpg
1000158169.jpg


1000158212.jpg
 

Attachments

  • 1000158171.jpg
    1000158171.jpg
    563.3 KB · Views: 7
  • 1000158167.jpg
    1000158167.jpg
    509.2 KB · Views: 6
😂😂😂 Thanks for tagging mimi nimebase kwenye debugging, ila software yangu ya kwanza ilikuwa inanisaidia kucount wateja

Low level mhhh hiyo kitu ni ngumu kuliko ugumu maana unawasiliana na computer directly
Basi Bantu Lady hayo ndio mambo yake.. low level kama akunywa cappuccino 😅😅.. mie ndio ananipa nipa maujuzi
 
Kitandani tu , dah yan ctengenezi pesa kabisa, tupeani ma ujanja bro.
 
Back
Top Bottom