Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini msidesign kwa C??? There's a way of optimizing C code ikarun very faster kuliko kucode kwa assembly ambayo ni architecture dependent?Tuna design system ya hardware ambayo tunajaribu kupunguza computation time. Mfano unatumia Tensorflow C, baadhi ya function za badala ya kua interpret kwenda C alafu Assembly na kua binary. Tunachukua function tuna i-difine kwenye assemby, ikiwa una run hiyo function haipiti tena kwenye C moja kwa moja inaenda kwenye Assembly inafata machine.
Kama unaa project za assembly tuone sample
Assembly ni more time consuming kuliko kutumia C, Mimi nimedevelop program kwa ARM assembly instructions it is very hard you have to do all the optimizations zinazofanywa no compiler wewe mwenyewe, kama hauko familiar na architecture husika you can't write efficient code it is better utumie C brother,Urahisi, time consuming and headache.
Assembly ni bora in urahisi, pia sio ngumu sana na kichwa hakiumi mara kwa mara. africa hii ya akina samia, ruto na musseven unapata wapi staff wa binary??
Processor yoyote ile inaweza kurun assembly Instructions sio hizo tu, alafu mwamba kasema yeye yuko familiar na ARM instructions ATmega imebase na AVR, PIC sijawahi kutumia but sio ARM piaprocessors/microC za PIC, ATmega, etc zina run assembly vizuri kabisa na zinauzwa bei poa
Bafredo Electronics Ubungo wanazo, jaribu kuwagugo
Huyo mwamba nahisi ni x86 ile, assembly instructions zake ni tofauti na ARM kaka,Concept za assembly nazijua, ni kucheza na bytes, registers, memory address, na flags . Ni lijifunza assembly nikutumia ARM simulator, NASM nadhani concept za assembly hazitofautiani sana, vp unaproject tupige kazi?