Unafanya coding ukiwa kwenye mazingira gani?

IMG_20220912_190119_036.jpg
Kitandani 2 hakuna pesa, vp unapiga mchongo? Tupe ma ujanja
 
Mkuu kwanini usiniundie simple Android apk kwa ajili ya web yangu
ya kijijini siyo ?
haina noma tutasawazisha hili, ila siundi ki-native, nai wrap up kwa web view
ntahitaji icon ntakutumia resolution specs, etc
 
anayeweza kunifafanulia ni nini hii coding, na inakazi zipi anifafanulie kidogo nielewe.
coz kuna siku nilikuwa kwenye mwendo kasi kuna kijana alikuwa na simu yake anafanya vitu kama hivyo.
nilitamani kufahamu na ikiwezekana nijifunze coz mimi mda mwingi nipo free.
msaada please.
 
Na mm nataka kujua. Asante
 
ya kijijini siyo ?
haina noma tutasawazisha hili, ila siundi ki-native, nai wrap up kwa web view
ntahitaji icon ntakutumia resolution specs, etc
Yap ndicho nilichomaanisha native sio leo maana nipo kwenye mpango baadae niunde API alafu nitakutafuta kwa dau
 
View attachment 2678214
Michongo ipo kama unajua assembly kazi na mipunga ipo watu ndo hamna.

Kama unajua basic za assembly (especially NASM structure) njo PM Hahauta kosa hata u-intern
Concept za assembly nazijua, ni kucheza na bytes, registers, memory address, na flags . Ni lijifunza assembly nikutumia ARM simulator, NASM nadhani concept za assembly hazitofautiani sana, vp unaproject tupige kazi?
 
Tuna design system ya hardware ambayo tunajaribu kupunguza computation time. Mfano unatumia Tensorflow C, baadhi ya function za badala ya kua interpret kwenda C alafu Assembly na kua binary. Tunachukua function tuna i-difine kwenye assemby, ikiwa una run hiyo function haipiti tena kwenye C moja kwa moja inaenda kwenye Assembly inafata machine.

Kama unaa project za assembly tuone sample
 
Kwanini usitumie machine language moja kwa moja 🤔
 
Urahisi, time consuming and headache.
Assembly ni bora in urahisi, pia sio ngumu sana na kichwa hakiumi mara kwa mara. africa hii ya akina samia, ruto na musseven unapata wapi staff wa binary??
 
Tuna design system ya hardware ambayo tunajaribu kupunguza computation time. Mfano unatumia Tensorflow C, baadhi ya function za badala ya kua interpret kwenda C alafu Assembly na kua binary. Tunachukua function tuna i-difine kwenye assemby, ikiwa una run hiyo function haipiti tena kwenye C moja kwa moja inaenda kwenye Assembly inafata machine.

Kama unaa project za assembly tuone sample
Hapana cna project ya assembly kwa sababu sina hardware tofauti na simu ya android na laptop. Kutengeneza software kwa kutumia assembly kwa hizi hardware ni pointless, Ila uwezo wa kuandika software kwa hardware yeyote ninao. Nikipata hardware yenyewe na dev tools husika
 
Back
Top Bottom