Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Sawa mkuu... Don't take serious ..Nita scan hapa nina simu moja mkuu.. nitaicheki
Yes.. freelancing all 24/7wewe ni freelancer?? what do you do??
ntakutafuta mzee tuongeeπYes.. freelancing all 24/7
Karibu mkuuntakutafuta mzee tuongeeπ
i have so many questions
πππ Thanks for tagging mimi nimebase kwenye debugging, ila software yangu ya kwanza ilikuwa inanisaidia kucount watejanikisoma jina hili huwa nacheka tu ati Uboboh
Low level mhhh hiyo kitu ni ngumu kuliko ugumu maana unawasiliana na computer directlyBantu Lady kwenye Low level programming ni hatari na nusu π
Basi Bantu Lady hayo ndio mambo yake.. low level kama akunywa cappuccino π π .. mie ndio ananipa nipa maujuziπππ Thanks for tagging mimi nimebase kwenye debugging, ila software yangu ya kwanza ilikuwa inanisaidia kucount wateja
Low level mhhh hiyo kitu ni ngumu kuliko ugumu maana unawasiliana na computer directly
au sio mzeeπanacum
Ndicho ulichoona kiazi weweau sio mzeeπ
Mkuu kwanini usiniundie simple Android apk kwa ajili ya web yangu π₯Ίπ₯Ίπ₯Ί developer mpiga nyeeetr
Ahhaha IT mkali sana.
Njoo nikuundie apk kwa ajili ya website yakoMkuu kwanini usiniundie simple Android apk kwa ajili ya web yangu π₯Ίπ₯Ίπ₯Ί developer mpiga nyeeetr
Uko moto mzee.. hii ni node js?Kitandani tu , dah yan ctengenezi pesa kabisa, tupeani ma ujanja bro.