Nahman
JF-Expert Member
- Oct 4, 2023
- 599
- 1,749
Unajua nini haya maisha bora mtu akuambie ukweliSijijui nanuka au nanukia dah😀 unaweza hisi uko sawa kumbe watu wanakuvumilia tu, naombeni mtu aninuse🏃♀️
Utakuuma ila ndio dawa
Tukiwa secondary kuna dem nlikua nnamfukuzia sio pow
Akawa kakaa na rafiki yake
Yule rafk yake kuna kitu nlimkela…akachukia akaniwekea tu
Kategea niko na pis yangu ndio akaniuliza hivi we nahman hua unapiga hata mswaki!!?
Dah sikumbuk hata nlijibu nini ila nakumbuka tu nlipotea yale mazingira
Tangu hapo ni mswaki kila nnapooga
Asubuh mchana na ikitokea mchana nmeoga pia