Unafanya nini mbwa wako kuwa mkali

Unafanya nini mbwa wako kuwa mkali

mapunye

Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
29
Reaction score
43
Salaam wakuu, kwanza niwatakie mapumziko mema ya sikukuu ya Maulid.
Kama title inavyojieleza nataka tushare na wewe mbinu mbalimbali za kumfanya mbwa wako kuwa mkali zaidi na kuogofya wezi na vibaka mtaani pengine hata wageni wakifika getini waulize "mbwa mmemfunga?[emoji28] [emoji28]
Kwa kuanzia binafsi nimetumia mbinu tofauti tofauti hasa kwa mbwa wa kienyeji kama ifuatavyo:
1.Kumvutisha msheshe aka ganja na hapa unamwekea pia kwenye msosi.
2.Kumwekea nyigu kwenye banda wanamuuma kwa muda mrefu akitoka halo ni shida.

Kwa wafugaji wa mbwa nawe share hapa unafanya nini mbwa wako kuwa mkali zaidi ili kubadilishana uzoefu.

Aksante
 
MPE mazoezi ya vikwazo mara kwa mara mzoeshe kukimbiza adui kwa speed na muda mfupi arejee
MPE elimu ya utii akutii
Mfano ukimwalu kaa akae kimbiza akimbize Ila hii kwa mhusika tu

Kuhusu chqkula mzoshe msosi wa aina moja zaid na wa kupikwa hii utamwondelea tamaa na wizi yaan mtu asiyemjua aatapoleta msosi ataugomea na pia hata aone nhama Nje hawez kuiba

Kumfungia nyigu bandani utamfanya awe mwoga daima manake hawez kupambana nao hata kuwatafuna hawezi lakini yeye ataumizwa vibaya sana
Na mbwa ndo moja ya wanyama wanaotunza kukumbiku za majeraha
 
Hakikisha banda la mbwa liwe mbali kidogo na watu. kama ni nyumbani banda jenga nyuma ya nyumba ili mbwa asiwazoee watu. Hakikisha mbwa unamlisha mwenyewe au mtu maalumu. Usipende sana kupeleka wageni kwenye banda la mbwa. usimpe jina mbwa wako. usisahau kumpa mbwa wako mbanje(bange)
 
Salaam wakuu, kwanza niwatakie mapumziko mema ya sikukuu ya Maulid.
Kama title inavyojieleza nataka tushare na wewe mbinu mbalimbali za kumfanya mbwa wako kuwa mkali zaidi na kuogofya wezi na vibaka mtaani pengine hata wageni wakifika getini waulize "mbwa mmemfunga?[emoji28] [emoji28]
Kwa kuanzia binafsi nimetumia mbinu tofauti tofauti hasa kwa mbwa wa kienyeji kama ifuatavyo:
1.Kumvutisha msheshe aka ganja na hapa unamwekea pia kwenye msosi.
2.Kumwekea nyigu kwenye banda wanamuuma kwa muda mrefu akitoka halo ni shida.

Kwa wafugaji wa mbwa nawe share hapa unafanya nini mbwa wako kuwa mkali zaidi ili kubadilishana uzoefu.

Aksante
Mm namfungia asbh bandan nakumfungulia kuanzia sa4 nahakikisha haonan namtu yeyote mda wamchana
 
Hakikisha Unamjenge banda nzur na safi kila mara.liwe mbal kidogo na mazingira ya watu.

muogeshe na apate chanjo zote
kuepuka magonjwa yatakayo mdhoofisha

muasi mbwa wako ili asiwe na akil ya kufata majike ama madume kujaa.

Mzoeshe vyakula si zaid ya aina mbili na viwe ni vya kupikwa sio vibich(nyama)
namanisha uwe unampikia vya kwake sio unachopika ww ndo ale yeye.

Hakikisha mbwa wako adhururi ovyo mfungie mchana.usiku mfungulie na uwe una muda maalum wa kumfungulia na kumfungia.

usimtupie chakula chini.awe na sahani yake maalum.na kumbuka kuiosha kila baada ya mlo.
 
Hakikisha banda la mbwa liwe mbali kidogo na watu. kama ni nyumbani banda jenga nyuma ya nyumba ili mbwa asiwazoee watu. Hakikisha mbwa unamlisha mwenyewe au mtu maalumu. Usipende sana kupeleka wageni kwenye banda la mbwa. usimpe jina mbwa wako. usisahau kumpa mbwa wako mbanje(bange)
Usipompa jina utawasiliana naye vipi
 
Sio kila mbwa ni mkali... Yani umeokota mbwa njian unatarajia awe mkali?? Sio tu unafuga mbwa kwa ili uonekane umefuga...

Google hawa wanyama...

1. German shefield..huyu ni common sana na hata wanajeshi wanawatumia, pia ni rahisi kuwafindisha.

german-shepherd-2577025_960_720.jpg

shef.jpg
Solid_Black_German_Shepherd-_Copy.JPG
multiflying-4.jpg

url

2. Rottweiler. Hawa ni balaa tupu... Ukijichanganya kwenye anga zao wanaweza kukusambaratisha hata wewe mmiliki!!

aggressive-rottweiler-r.jpg
Rottweiler-puppies.jpg

3. Bull dog. Huyu nae ni balaa ingine, ana uwezo wa kuvuta hata gari dogo mwenyewe, ni mbwa mwenye nguvu sana!!

PITBULL.jpg
pitb.jpg
pit.jpg

Rottweiler na pitbull hawapendi kuchanganywa na species nyingine, na ukijaribu kuwamix na mbwa wengine jua dhoruba itayotokea hapo wenda hata wewe utakimbia kwa uoga!!
 
Attachments

  • shef.jpg
    shef.jpg
    44.7 KB · Views: 205
Back
Top Bottom