Unafanyaje inapotokea umemchoka mpenzi wako ila yeye bado anakupenda sana?

Naomba kuuliza sababu za wewe kumuacha ni zipi. Inatafakarisha sana mtu unaingiaje kwenye mahusiano na mtu usiyempenda.
Mkuu..sio kwamba unaingia kwenye mahusiano na mtu usiyempenda...sis watu wa matukio tunakutana na watu kila siku na mnajikuta tu mnahusiana...na sie wengne ishu ya kupenda ni deep sana...unakuta uko na bint mrembo sanaa ila unampenda kawaida tu..had wengne wanashangaa mkuu mbona bint mkal sana tatzo nn....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well sijawai mwaminisha hayo..na wlaa sijawai kujicommit kwake...ni vile ananipenda saana

Sent using Jamii Forums mobile app
Napoleone , umekaa kwenye mahusiano na huyo Binti miaka karibia 4 unadhani kumuaminisha kuwa yeye ni wako inahitaji mtu awe kasoma hadi chuo kikuu?

Hata ningekuwa ni Mimi ningekuendea ukambani nakuloga hiko kidudu kinapotea kinafutika kama ufutio wa pensel inabakia alama tu ubaki unahadithia tu kuwa kilikuwa-ga hapa [emoji12]
 
Hakuna kitu kibaya na kinachoumiza moyoni kama kucheza na feeling za mtu hasa feeling za kimapenzi.
 
Hahahhahahahaha....hiv mfano ungekua wew..na umemchoka mtu..ungefanyaje...nipe ushaur..je..niwe nae tuu sabab nmempotezea muda..yaan nikubal niyale matapish yangu..ama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo angu mwanamke aachwi ww piga tuu au tafuta pisi nyingine kuwa nayo usimwambie nakuacha wala nini mwanamke aachwi ww mpotezee tuu mlie buyu basi atajiongeza mwenyewe...
 
Mwanzo mwa mahusiano kila mtu huwa huyo hot ila kadri mda unavyozid kwenda ndio utagundua ukwel wa mtu.

Unaposema ukiachana nae uendi popo unataka kufocus kwenye mambi yako unamaanisha nini? Kwan yeye ni kikwazo kinachokuzuia kusifocus kwenye mambo yako?
 

Sababu za kumuacha ni zipi?

Unaingiaje kwenye mahusiano kila siku ukiwa una mtu. Inaonesha unatamaa ya kila mwanamke, basi yafaa usitumie udhaifu wa mwanamke kupenda kuwapata. Ni vyema uweke wazi”mimi sitaki mahusiano nataka hang outs, kunyanduana na wewe”
 
Mdogo angu mwanamke aachwi ww piga tuu au tafuta pisi nyingine kuwa nayo usimwambie nakuacha wala nini mwanamke aachwi ww mpotezee tuu mlie buyu basi atajiongeza mwenyewe...
Nimependa hii...nahis niwe nae tu na niwe na mwingne...unajua ndomana wenzetu muslim wanaruhusu wake wa4..hata mim naafiki hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…