Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemdekeza.Kuna watu wazima bila kupelekeshwa kama watoto ni wasumbufu.Sijui umeelewa?Nimeongea nae sana !! shida ye anapenda kujikweza nakujikuta anaongea kila kitu kwa kila mtu
kifupi chanzo n mke wangu n mmbea sanaa!! kwa kifupi hana siri hata mojaaa!! Kila kitu anasimulia kwa watu na majirani !!Yaan namaanisha kila kitu ,, hata vitu vya siri !!!… Ni mtu wa kujikweza na kuropoka yaan hiyo taabia ndiyo inayosababisha aongee vitu bila kuulizwa!!
nilimfungulia duka nikaona mambo yanazidi kuwa mengi nikamrudisha
Yap!...huenda hii njia ikafanya kazi tena iwe kazi ya kutoka nyumbani na kurudi baadae (ikibidi japo sio lazima).
Ila kumbuka hata huko kazini anaweza kuendeleza gurudumu la umbea.
Zigo lako hilo libebe mwenyewe
Huo nao ni ushauri?Kawaida ya wanawake wa Pwani. Ungetuuliza kabla haujaona km ni vizuri kuoa mwanamke wa Pwani. Wewe ukaamua kuoa kimya kimya tu!!
Daah kama anaongea yote basi kabla hujapata ufumbuzi wa hilo tatizo peleka moto ili akasimulie vile unasimamia ukucha, maana ni fedheha sana ukiwa na show mbovu halafu wife ni redio free inashika AM na FMHello Jf
Natumaini mtasoma na kunipa ushauri kulingana na uzoefu wenu au maarifa kadili ya busara zenu!!..
Nimeoa ninaishi na mke na nina mtoto mmoja!!
Kifupi mimi ni mtu busy sana sishindi sana nyumbani na hata nikishinda sijuani sana na majirani !!
Sasa kati ya majirani nilio nao kuna jiran mmoja tupo nae karibu sana n mmama mtu mzima umri wa mama yangu!! Na mazoea yametokana na ukaribu na utegemezi nilio uweka wakt nanunua eneo hili naloishi hapa mtaani kwani ilinibidi niwe nawasiliana nae mara kwa mara kupata taarifa saahihi juu ya mmiliki wa mwanzo, migogoro ya eneo nk!
Sasa amekua akiniita na kunishauri vitu mbalimbali!!Ikiwa pamoja na maneno yanayosikika mtaani!!
kifupi chanzo n mke wangu n mmbea sanaa!! kwa kifupi hana siri hata mojaaa!! Kila kitu anasimulia kwa watu na majirani !!Yaan namaanisha kila kitu ,, hata vitu vya siri !!!… Ni mtu wa kujikweza na kuropoka yaan hiyo taabia ndiyo inayosababisha aongee vitu bila kuulizwa!!
Ingawa sijazoeana na watu mtaani ila kila mtu anajua kwangu kukoje kuna nn, na viwanja wapi,nyumba wapi,Tunakula nn, nafanya kazi wapi,nimesafiri,nimerudi, yaan kila kitu ,nimemfanya leo au sijamfanya,nina boxa ngap nk
Nikimaanisha kila kitu eleweni…achilia mbali umbea wa wanawake ule wa kawaida ambao kila mwanamke anao!!..naongelea mdomo,majigambo n umbea wa kutoa kila na vyote vya ndan na nje!
Tabia nyingine zinavumilika lakini hii naona inanikera
Nimekua nikisikia minong’ono kadhaa,mengine nakuta story sasa huyu mama jiran ndo atleast anakifua kuniambia baadhi ya mambo !!… lakini wengine wananichora tu,,,, kuna vitu majiran wanavijua mimi sivijui
Sasa najiuliza nimfanyaje nilishamuonya tukaishia kugombana si mara moja!!…
Ukimwambia anakataa na hasa kulia!!..mwisho tunagombana!!
Je ww unafanyaje kama una mke wa hivi ndani???
Naomba mnisaidie kushauri!!
Huo nao ni ushauri?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nahisi kama vile umemuoa Ex wangu.
Kama anaitwa Aisha basi ndiye huyo!!.
Tabia ni kama ngozi....Yap!...huenda hii njia ikafanya kazi tena iwe kazi ya kutoka nyumbani na kurudi baadae (ikibidi japo sio lazima).
Ila kumbuka hata huko kazini anaweza kuendeleza gurudumu la umbea.
Ni yeyee!nahisi kama vile umemuoa Ex wangu.
Kama anaitwa Aisha basi ndiye huyo!!.