Unafanyaje kama mkeo ni mbea kupitiliza?

Hello Jf
Natumaini mtasoma na kunipa ushauri kulingana na uzoefu wenu au maarifa kadili ya busara zenu!!..

Nimeoa ninaishi na mke na nina mtoto mmoja!!
Kifupi mimi ni mtu busy sana sishindi sana nyumbani na hata nikishinda sijuani sana na majirani !!

Sasa kati ya majirani nilio nao kuna jiran mmoja tupo nae karibu sana n mmama mtu mzima umri wa mama yangu!! Na mazoea yametokana na ukaribu na utegemezi nilio uweka wakt nanunua eneo hili naloishi hapa mtaani kwani ilinibidi niwe nawasiliana nae mara kwa mara kupata taarifa saahihi juu ya mmiliki wa mwanzo, migogoro ya eneo nk!

Sasa amekua akiniita na kunishauri vitu mbalimbali!!Ikiwa pamoja na maneno yanayosikika mtaani!!

kifupi chanzo n mke wangu n mmbea sanaa!! kwa kifupi hana siri hata mojaaa!! Kila kitu anasimulia kwa watu na majirani !!Yaan namaanisha kila kitu ,, hata vitu vya siri !!!… Ni mtu wa kujikweza na kuropoka yaan hiyo taabia ndiyo inayosababisha aongee vitu bila kuulizwa!!

Ingawa sijazoeana na watu mtaani ila kila mtu anajua kwangu kukoje kuna nn, na viwanja wapi,nyumba wapi,Tunakula nn, nafanya kazi wapi,nimesafiri,nimerudi, yaan kila kitu ,nimemfanya leo au sijamfanya,nina boxa ngap nk

Nikimaanisha kila kitu eleweni…achilia mbali umbea wa wanawake ule wa kawaida ambao kila mwanamke anao!!..naongelea mdomo,majigambo n umbea wa kutoa kila na vyote vya ndan na nje!
Tabia nyingine zinavumilika lakini hii naona inanikera

Nimekua nikisikia minong’ono kadhaa,mengine nakuta story sasa huyu mama jiran ndo atleast anakifua kuniambia baadhi ya mambo !!… lakini wengine wananichora tu,,,, kuna vitu majiran wanavijua mimi sivijui

Sasa najiuliza nimfanyaje nilishamuonya tukaishia kugombana si mara moja!!…
Ukimwambia anakataa na hasa kulia!!..mwisho tunagombana!!

Je ww unafanyaje kama una mke wa hivi ndani???

Naomba mnisaidie kushauri!!
Na wewe kama si mmbea, umeyajuaje hayo? Kazi kutega misikio kuletewa umbeya na wamama wa jirani wote ngoma droo
 
Kawaida ya wanawake wa Pwani. Ungetuuliza kabla haujaona km ni vizuri kuoa mwanamke wa Pwani. Wewe ukaamua kuoa kimya kimya tu!!
Kama unampenda, zoea tu. Nawajua watu wa Kisiju, Maneromango, Rufiji, Chalinze... Ndivyo walivyo. Kama haumpendi, tafuta mwingine. Asitoke Pwani.

Zaidi ni pichu mkononi. Huyo mama mtu mzima atakuwa amesikia kitu kuhusu ili ila hawezi kukueleza. Mtu anayesimulia mambo yenu ya chumbani, atakuwa anagawa kirahisi sana. Kama anaanza kuongea jinsi mlivyolala kwa masela, unafikiri hayo maongezi yataishia wapi?
Hakuna sehemu aliyosema ni mwanamke wa Pwani.

Acha kukariri au kulisha watu matango pori.
 
Huyo mtembezee bakora za kiutu uzima huku unamkanya hakika ataacha shida nyie vijana wala chips ubavu wa kuunganisha kwenu ni mzigo
 
Ongea na mshenga..ikiwezekana apelekwe kwa ma aunt zake wafanye kitu.

Ila tabia Kama ngozi aisee 🤣🤣 pole
 
Ongea na mshenga..ikiwezekana apelekwe kwa ma aunt zake wafanye kitu.
Ila tabia Kama ngozi aisee [emoji1787][emoji1787] pole
Hahahah iyo avatar bwana [emoji1], [emoji208]
 
Hello Jf
Natumaini mtasoma na kunipa ushauri kulingana na uzoefu wenu au maarifa kadili ya busara zenu!!..

Nimeoa ninaishi na mke na nina mtoto mmoja!!
Kifupi mimi ni mtu busy sana sishindi sana nyumbani na hata nikishinda sijuani sana na majirani !!

Sasa kati ya majirani nilio nao kuna jiran mmoja tupo nae karibu sana n mmama mtu mzima umri wa mama yangu!! Na mazoea yametokana na ukaribu na utegemezi nilio uweka wakt nanunua eneo hili naloishi hapa mtaani kwani ilinibidi niwe nawasiliana nae mara kwa mara kupata taarifa saahihi juu ya mmiliki wa mwanzo, migogoro ya eneo nk!

Sasa amekua akiniita na kunishauri vitu mbalimbali!!Ikiwa pamoja na maneno yanayosikika mtaani!!

kifupi chanzo n mke wangu n mmbea sanaa!! kwa kifupi hana siri hata mojaaa!! Kila kitu anasimulia kwa watu na majirani !!Yaan namaanisha kila kitu ,, hata vitu vya siri !!!… Ni mtu wa kujikweza na kuropoka yaan hiyo taabia ndiyo inayosababisha aongee vitu bila kuulizwa!!

Ingawa sijazoeana na watu mtaani ila kila mtu anajua kwangu kukoje kuna nn, na viwanja wapi,nyumba wapi,Tunakula nn, nafanya kazi wapi,nimesafiri,nimerudi, yaan kila kitu ,nimemfanya leo au sijamfanya,nina boxa ngap nk

Nikimaanisha kila kitu eleweni…achilia mbali umbea wa wanawake ule wa kawaida ambao kila mwanamke anao!!..naongelea mdomo,majigambo n umbea wa kutoa kila na vyote vya ndan na nje!
Tabia nyingine zinavumilika lakini hii naona inanikera

Nimekua nikisikia minong’ono kadhaa,mengine nakuta story sasa huyu mama jiran ndo atleast anakifua kuniambia baadhi ya mambo !!… lakini wengine wananichora tu,,,, kuna vitu majiran wanavijua mimi sivijui

Sasa najiuliza nimfanyaje nilishamuonya tukaishia kugombana si mara moja!!…
Ukimwambia anakataa na hasa kulia!!..mwisho tunagombana!!

Je ww unafanyaje kama una mke wa hivi ndani???

Naomba mnisaidie kushauri!!
Kabla ya kumuoa alikuaje?

Mtafutie shughuli ya kufanya mbali na hapo, atoke hapo nyumbani, na uendelee kumuonya ataacha

Asipoacha mpe mimba nyingi sana za kufululiza, akija kustuka ameshazeeka na amechelewa kufanya umbea

Narudia MPE mimba za kutosha asitoke ndani.
 
Kwani Ndugu ulimuokota tu Barabarani huyo mkeo ukaoa.!? Hizo tabia ungezijua mapema Wakati wa Uchumba ungejua Ungemuepukaje.
 
Hello Jf
Natumaini mtasoma na kunipa ushauri kulingana na uzoefu wenu au maarifa kadili ya busara zenu!!..

Nimeoa ninaishi na mke na nina mtoto mmoja!!
Kifupi mimi ni mtu busy sana sishindi sana nyumbani na hata nikishinda sijuani sana na majirani !!

Sasa kati ya majirani nilio nao kuna jiran mmoja tupo nae karibu sana n mmama mtu mzima umri wa mama yangu!! Na mazoea yametokana na ukaribu na utegemezi nilio uweka wakt nanunua eneo hili naloishi hapa mtaani kwani ilinibidi niwe nawasiliana nae mara kwa mara kupata taarifa saahihi juu ya mmiliki wa mwanzo, migogoro ya eneo nk!

Sasa amekua akiniita na kunishauri vitu mbalimbali!!Ikiwa pamoja na maneno yanayosikika mtaani!!

kifupi chanzo n mke wangu n mmbea sanaa!! kwa kifupi hana siri hata mojaaa!! Kila kitu anasimulia kwa watu na majirani !!Yaan namaanisha kila kitu ,, hata vitu vya siri !!!… Ni mtu wa kujikweza na kuropoka yaan hiyo taabia ndiyo inayosababisha aongee vitu bila kuulizwa!!

Ingawa sijazoeana na watu mtaani ila kila mtu anajua kwangu kukoje kuna nn, na viwanja wapi,nyumba wapi,Tunakula nn, nafanya kazi wapi,nimesafiri,nimerudi, yaan kila kitu ,nimemfanya leo au sijamfanya,nina boxa ngap nk

Nikimaanisha kila kitu eleweni…achilia mbali umbea wa wanawake ule wa kawaida ambao kila mwanamke anao!!..naongelea mdomo,majigambo n umbea wa kutoa kila na vyote vya ndan na nje!
Tabia nyingine zinavumilika lakini hii naona inanikera

Nimekua nikisikia minong’ono kadhaa,mengine nakuta story sasa huyu mama jiran ndo atleast anakifua kuniambia baadhi ya mambo !!… lakini wengine wananichora tu,,,, kuna vitu majiran wanavijua mimi sivijui

Sasa najiuliza nimfanyaje nilishamuonya tukaishia kugombana si mara moja!!…
Ukimwambia anakataa na hasa kulia!!..mwisho tunagombana!!

Je ww unafanyaje kama una mke wa hivi ndani???

Naomba mnisaidie kushauri!!
umbea ni asili ya mtu, mke wako kama hajarithi kwa mama yake itakuwa kwa baba yake. Mdomo wake ni mrefu automatically.

Tafuta dawa ya kmfanya bubu, asiongee milele, awe anawasiliana kwa kuandika tuu

Au usiwe unamwambia mambo yako. Akose cha kuropoka.
 
Technique ya kwanza umeshapewa kumkeep busy by anyway sio biashara tu yaan kuna ile unamkeep busy mpaka akirudi nyumbani hata ham hana kuhusu kupiga umbea kwenye kazi utakayomtaftia hakikisha kazi unayomtaftia aimpi muda wa kupga umbea eg kuna kazi unaweza ukawa unafanya inakuitaj kuwa active all over the time unakuta kama mteja hayupo unahitajika kupanga bidhaa Mara kuwasiliana ili kupata mzigo mpya Mara kudocument mauzo nk Mimi nakupa kama example utaongeza na zako katika kuidisign hyo kaz kuringana na mazingira uliyopo njia ya pili ukiona mwenzio hagandishi mipango na info sensitive tunza mwenyewe
Eti technique ya kumkipu busy!!!!!, kumbe bado hujakutana na wanawake wanaongea mpaka wanasahau kupika? au mwanamke anaenda sokoni asubuhi anarudi jioni, kuna watu wanaongea hatareee,

sasa mwanamke wa dizaini hiyo kuna uwezekano hata ukimfungulia kazi akawa anachelewa kufika kazini kisa ya umbea au hata akifika kazini akafungua duka na kuacha wazi, ili akapige umbea kwenye maduka ya watu na wateja wakampita.

Hapo utakua umemkipu busy au ndo umempa uhuru wa kusambaza umbea?
 
Uyo mwanamke ni public informer sema kaa nae chini na umuambie aache mambo yakiwaki👂

Back
Top Bottom