Unafanyaje kama mkeo ni mbea kupitiliza?

Kawaida ya wanawake wa Pwani. Ungetuuliza kabla haujaona km ni vizuri kuoa mwanamke wa Pwani. Wewe ukaamua kuoa kimya kimya tu!!
 
Mtafutie kitu Cha kumuweka bize, ataacha automatically.
 
Yap!...huenda hii njia ikafanya kazi tena iwe kazi ya kutoka nyumbani na kurudi baadae (ikibidi japo sio lazima).

Ila kumbuka hata huko kazini anaweza kuendeleza gurudumu la umbea.

Huko atasutwa na kuchambwa hatorudia tena [emoji3][emoji3]
 
Daah kama anaongea yote basi kabla hujapata ufumbuzi wa hilo tatizo peleka moto ili akasimulie vile unasimamia ukucha, maana ni fedheha sana ukiwa na show mbovu halafu wife ni redio free inashika AM na FM
 
Kama unampenda, zoea tu. Nawajua watu wa Kisiju, Maneromango, Rufiji, Chalinze... Ndivyo walivyo. Kama haumpendi, tafuta mwingine. Asitoke Pwani.

Zaidi ni pichu mkononi. Huyo mama mtu mzima atakuwa amesikia kitu kuhusu ili ila hawezi kukueleza. Mtu anayesimulia mambo yenu ya chumbani, atakuwa anagawa kirahisi sana. Kama anaanza kuongea jinsi mlivyolala kwa masela, unafikiri hayo maongezi yataishia wapi?
Huo nao ni ushauri?
 
Muda mwingi yupo idle ntafutie cha kufanya awe busy hiyo tabia itaisha
 
Yap!...huenda hii njia ikafanya kazi tena iwe kazi ya kutoka nyumbani na kurudi baadae (ikibidi japo sio lazima).

Ila kumbuka hata huko kazini anaweza kuendeleza gurudumu la umbea.
Tabia ni kama ngozi....

Aisee! Eti akiliwa papuchi anaenda kuhadithia! Baadhi ya mambo fanya kimya kimya bila kumtaarifu. Inawezekana kabisa siku umehifadhi fedha nyingi akaenda kutangaza nje na kusababisha kuvamiwa
 
Mtafutie kazi ya kufanya mkeo,inaonekana ni Mama wa nyumbani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…