Unafanyaje kama mkeo ni mbea kupitiliza?

Mkeo lazma awe anashabikia Yanga tu 😅 pole sana mkuu ndio tabia zao hao mashabiki wa utopolo😅!

Kumradhi, hivi wakati mnaanza kuishi pamoja hizo tabia za kwa mchambawima ulikuwa hujaziona au ulikuwa unapotezea tu.
 
Pole sana jitahidi kumrekebisha kidogo kidogo huenda akabadilika.
 
Sawa Wanawake mko wengi,sema Wanawake wenye akili wako wachache sana,tena hata kwa tochi bado unaweza usiwaone hadi umshirikishe Mungu wako!!
sasa akili za mtu we unataka za nini, we tumia tu zako zinatosha
 
Mmbea wa kwanza ni wewe mwenyewe!!! usimlaumu dada wa watu buuureee!!! !kwa kuwa aliye nunua kiwanja ni wewe au nani??? sasa km unajua ivo mkeo yeye alijuaje?? km chanzo cha habari siyo wewe?? sawa ni mmbeya kwa nini ulimshirikisha mmbeya??

Km una boxer mbili siyo rahisi kuzisahahu ivo chanzo ni wewe!!.... nunua nyingi mpaka achanganyikiwe! wkt mwingine tembea bila chupi ili umchanganye! hawa ke mnawasingiziaga sana!.......huyo aliye kuletea habari nataka umle yeye umri si hoja!!!!

wewe ndo wakulaumu ulitongozaje mmbea?? mpaka ukazaa nae??? pia usiangalie umbea tu KIsmart cha mapene anacho??? au ndo mikosi mkosi na wewe??.......
 
Nimeongea nae sana !! shida ye anapenda kujikweza nakujikuta anaongea kila kitu kwa kila mtu
Mu introduce kwa watu ambao wamefanikiwa mno zaidi yenu ili ajione kuwa yeye bado sana, na akue mada wanazoongea ni za kukuza kipato na mambo ya maendeleo, atajiona boya sana ataona bora atafute pesa na yeye maana hizo anazoringia nazo bado sana.
 
😂😂😂
Huyo siyo 'nshomile' kweli?
Hata ukimgegeda anaenda kusimulia majirani!!!
Kwa kuwa kila kitu anasimulia, ww acha kumwambia kila kitu hadi atakapokuhakikishia ameacha.

..Tabia nyingine zinavumilika lakini hii naona inanikera
Ipo moja isiyovumilika kabisa - UZINZI !
 
Mkuu pole ndio Mambo ya ndoa jaribu kumkeep busy.

Wewe mke wako ana tabia hiyo kuna wengine Wana wake warembo lakini unakuta hajui kupika unaishia kupenda vyakula vya mitaani au kwa ndani mchafu na hataki kurekebishwa.
 
Teh teh 😂😂 hii kali aisee
 
Ukute na ya home nayo anayapeleka kazini kwao!? Maana hawa watu hawatabiliki kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…