Unafanyaje kama mumeo anataka kumfukuza shambaboi wenu wakati wewe mazahausi hautaki shambaboi aondoshwe?

Unafanyaje kama mumeo anataka kumfukuza shambaboi wenu wakati wewe mazahausi hautaki shambaboi aondoshwe?

sasa kama baba mwenye nyumba hana maamuzi sisi maamuma ni kina nani tuwe n maamuzi ya familia za wengine??
 
Kuna baadhi ya mambo yanasikitidha sana
Hili nalo litapita
 
Kama Mama mwenye nyumba hataki House boy atoke, Baba mwenye nyumba ni bora atafute House girls watatu.
 
Ndio, au baba aondoke awaachie nyumba
kuna nafasi uko kwenu kiongozi? uyu mubaba aje kujisitiri?
Screenshot_20250511-213021_Instagram Lite.jpg
 
Baba mwenye nyumba kashakomaa lazma shambaboi asepe kwao wewe lakn wew mazahausi hautaki shambaboi aondoshwe.

Huu mtiti unaishaje wakuu?
Mazahouse ndio ameoa au? Why wake wana challenge authority ya mwanaume?

Baba hataki kumuona, and thats it, either mko on the same page or go home
 
Huyo jamaa kwanza akapime DNA za watoto hao na Hapo Baba Mwenye Nyumba akaongeze Beki tatu mwingine aende Singida uko Akachukue Beki tatu mzuri full msambwanda alete apo amuambie mke wake nimeona Tuongeze Beki tatu hapa, Ndio akili zitamrudi huyo Mama Mwenye nyumba
 
Hee kiongozi yamekuwa hayo?
 
Back
Top Bottom