Sheillah Sheillah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 653
- 1,698
Kampani ya kukesha nayo au kunibembeleza?[emoji23]Tafuta kampani
Jf ni kila kitu, kuna uzi wa kubembeleza usingizi, jf usiku wa mananeTangu saa tatu najigeuza geuza hapa. Hamna hata dalili ya usingizi. Nashuhudia masaa yanakata tuu na kusikilizia kelele za mbwa wakibweka nje.
Unapokosa usingizi unatumia mbinu gani kujibembeleza hadi usinzie? Nipeni mbinu.
Asante.
Usingizi wangu utakuwa umejificha huko eti sio[emoji23]Unaingia Jamiiforum Usiku wa manane,utaupata tu Sheilah Sheilah
Hapo inabidi uwe na bando la kutosha sasa.Nasikiliza dira ya dunia na duniani leo youtube, ikipita 1hr hiyo bado, nacheki Maury show hukohuko youtube. Hapo lazima nitalala.
sure...Usingizi wangu utakuwa umejificha huko eti sio[emoji23]
Asante sana. Ukisinzia unaacha nyimbo bado zinaimba?Pole sana kwa kukaa muda wote kitandani huo kwa kusosa usingizi mm huwa nasikiliza love song na ninapata usingizi.
Zote ni we we tuu,unataka kulala au kukesha!Kampani ya kukesha nayo au kunibembeleza?[emoji23]
Nikiusoma huo Uzi nitasinzia?Jf ni kila kitu, kuna uzi wa kubembeleza usingizi, jf usiku wa manane
chukua kitunguu swaumu..menya mbegu zake kama 4 hv then ziweke chini ya mto...utaniletea jibu keshoTangu saa tatu najigeuza geuza hapa. Hamna hata dalili ya usingizi. Nashuhudia masaa yanakata tuu na kusikilizia kelele za mbwa wakibweka nje.
Unapokosa usingizi unatumia mbinu gani kujibembeleza hadi usinzie? Nipeni mbinu.
Asante.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Simple Sana napiga nyeto bao tatu! Huo usingizi ni naeza pitiliza saa 12 nkachelewa job
Usingizi mtamu balaa
Itabidi nitafute ya kulala.Zote ni we we tuu,unataka kulala au kukesha!
Asante kwa ushauri. Bahati mbaya sina kwa sasa.chukua kitunguu swaumu..menya mbegu zake kama 4 hv then ziweke chini ya mto...utaniletea jibu kesho
Nikupeleke mahali!?Itabidi nitafute ya kulala.
Why don't u give a try, instead of hesitationNikiusoma huo Uzi nitasinzia?