Sheillah Sheillah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 653
- 1,698
Tangu saa tatu najigeuza geuza hapa. Hamna hata dalili ya usingizi. Nashuhudia masaa yanakata tuu na kusikilizia kelele za mbwa wakibweka nje.
Unapokosa usingizi unatumia mbinu gani kujibembeleza hadi usinzie? Nipeni mbinu.
Asante.
Unapokosa usingizi unatumia mbinu gani kujibembeleza hadi usinzie? Nipeni mbinu.
Asante.