Unafanyaje pale usingizi unapokataa kuja?

Naingia youtube music naweka playlist yangu then nasikiliza mdogo mdogo mpaka nasinzia
 
Tangu saa tatu najigeuza geuza hapa. Hamna hata dalili ya usingizi. Nashuhudia masaa yanakata tuu na kusikilizia kelele za mbwa wakibweka nje.

Unapokosa usingizi unatumia mbinu gani kujibembeleza hadi usinzie? Nipeni mbinu.

Asante.
Vichwa vilivyokomazwa na mirungi gomba kangeta vina tabu kwi kwi kwi kwi in BENARD Membe's voice.Mi huwa naweka earphone nakusikilizaga sauti ya Yule dada aitwae baby mama anapost you tube MAMBO ya kihasarahasara ya kitandani puu puu puuu puuu in Evarist Chahali's tone
 
[emoji3][emoji3][emoji3]. Naomba link.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…