Ume crop hii picha hakuna sehemu umeacha pembeni ionekane [emoji23][emoji23]Zaburi 2 mwisho ni 12 mbona. View attachment 1487302
HulaliPoa.
Ulitaka uchungulie mini huko pembeni[emoji3][emoji3][emoji3]Ume crop hii picha hakuna sehemu umeacha pembeni ionekane [emoji23][emoji23]
Sawa sawa.
We have same case,problem mi naanza kusinzia asubuhi wakati ndo natakiwa niamke kwenda jobAfu wanabweka kweli[emoji3][emoji3][emoji3].
Nakuja[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126].
Chukua Biblia, Fungua Sura yoyote unayoipenda halafu anza kusoma huku ukitafakari,Tangu saa tatu najigeuza geuza hapa. Hamna hata dalili ya usingizi. Nashuhudia masaa yanakata tuu na kusikilizia kelele za mbwa wakibweka nje.
Unapokosa usingizi unatumia mbinu gani kujibembeleza hadi usinzie? Nipeni mbinu.
Asante.