Unafanyaje pale usingizi unapokataa kuja?

Unafanyaje pale usingizi unapokataa kuja?

NABADILISHA NGUO NAVAA KANIKI YANGU NYEUSI NAINGIA KILINGENI NAJIGEUZA PAKA HUYO NAENDA MTAANI KUWANGA HUA NAPENDELEA KWENDA KWA MZEE MASUMBUKO NANYA KULE NYUMA YA NYUMBA YAKE NAMSUMBUA SANA NA MAKELELE YANGU HAPO DIRISHANI KWAKE NIKICHOKA NDO NASKIA USINGIZI NARUDI HOME KULALA
 
Tangu saa tatu najigeuza geuza hapa. Hamna hata dalili ya usingizi. Nashuhudia masaa yanakata tuu na kusikilizia kelele za mbwa wakibweka nje.

Unapokosa usingizi unatumia mbinu gani kujibembeleza hadi usinzie? Nipeni mbinu.

Asante.
Chukua Biblia, Fungua Sura yoyote unayoipenda halafu anza kusoma huku ukitafakari,

Nakuambia ndani ya Dk tatu usingizi mzito utakujilia na hutajua ni SAA ngapi ulitupa biblia na kulala..

Kama usingizi usipokuja basi endelea kusoma itakuwa ni faida kwako.

Binafsi kati ya changamoto kubwa ninaokumbana nayo ni kusoma na kuitafakari biblia kabla ya kulala,

Yaani utashangaa ulikuwa kwenye TV Massa mawili hakuna hata tone LA usingizi, jaribu kushika biblia dk 3
Usingizi huoo.
 
Back
Top Bottom