Unafiki: Aliyemdhalilisha Chongolo Kinondoni leo kawa Mtetezi wake!

Mangula alilishwa sumu , Magufuli alilishwa sumu na Makonda juzi kakimbia jukwaa kuogopa sumu , sasa upunguani wangu sijui uko wapi yaani ?
Anayekuambia kwamba wewe punguani hajatumia busara ulichokisema ndicho wanachokisema wenyewe huko ndio maana mimi nimetumia lugha ya tafswida kwamba kuna sura za kisiasa za aina tatu (FISI, CHUI na SIMBA sasa utajua ni yupi kati ya hao mwenye sifa ya kuweza kumwekea mwingine sumu (ni sharti awe mbnafsi, mwenye wivu)

Uko sawa kabisa wala usiwe na hofu inawezekana aliyerukia ni sehemu ya hao wanyama hatari kukutana nao maishani
 
Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC.

Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa anadhani Watanzania ni wajinga kiasi gani?

View attachment 2898805
Waka edit hata chats fake za Whatsapp kwamna Chongolo ametuma uume wake kwa demu. Bashite hovyo sana,.
Rais alisema uchunguzi unaendelea, sijui na yeye ameishia wapi?
 
Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC.

Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa anadhani Watanzania ni wajinga kiasi gani?

View attachment 2898805
Sijui kiwango chako cha uweledi katika Organizational Management, lakini nikwambie tu, kwa bosi wako kukukoromea kazini haimaanisha hakioendi au anakuchukia.
 
Labda kama humjui Makonda , huyu alisema Riziwani anauza unga akashindwa kuthibitisha , hiyo ndio organization Management ?
 
Unafiki kwenye siasa ndio mahala pake mwembe yanga tulitangaziwa Lowassa ni fisadi namba moja Chadema wakatuletea tumchague awe raisi na deki wakampigia hapo vipi!
Hii kitu chadema walitupiga na kitu kizito sitaisahau hadi kifo. Na hapo ndipo nilipochukia upinzani wa hawa jamaa.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC.

Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa anadhani Watanzania ni wajinga kiasi gani?

View attachment 2898805
Makonda mnafiki sana hakumpenda Chongolo toka Chongolo akiwa Dc kinondoni na yeye RC wa Dar

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC.

Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa anadhani Watanzania ni wajinga kiasi gani?

View attachment 2898805
Kwanini unaumia sana na mambo ya CCM? Huo muda wa kufuatilia mambo ya wanaCCM si ungeutumia kujenga chama chenu?
 
Unafiki kwenye siasa ndio mahala pake mwembe yanga tulitangaziwa Lowassa ni fisadi namba moja Chadema wakatuletea tumchague awe raisi na deki wakampigia hapo vipi!
Kila watanzania wanapokumbuka hii ishu wanaishia kukiadhibu CHADEMA kwenye sanduku la kura..
 
Back
Top Bottom