Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Shetani pia angekuws hatangazwi usingemjua.Shetani yuko midomoni mwa waumini tangu babu yako hajazaliwa naye anapewa promo ?
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani pia angekuws hatangazwi usingemjua.Shetani yuko midomoni mwa waumini tangu babu yako hajazaliwa naye anapewa promo ?
Tukuulize wewe sasaShetani pia angekuws hatangazwi usingemjua.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Alivyomkata mtama Warioba alikuwa Team nani ?Wewe acha kuishi na yaliyopita.Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.Kitu hujui Makonda alikuwa team Membe balaa,baadae akawa kwa Magu. Sasa anamtetea Samia. Dunia hii ukiishi kwa kuchukia watu mazima, utakufa maskini.
Shetani ni rafiki wa nani ?siasa haina adui wa kudumu
Hiyo ni laana itawatafuna milele!Kila watanzania wanapokumbuka hii ishu wanaishia kukiadhibu CHADEMA kwenye sanduku la kura..
special mental caseTrivial matter...
Kwenye siasa hakuna rafiki au adui wa kudumu. Naamini hata huko CHADEMA mambo ni yale yale.
Unashangaa ya Makonda na Chongolo mbona hushangai ya Makonda na Gwajiboy? Hawa walipapurana kweli kweli lakini leo ni washikaji tu...
Kama na haya mambo madogo yanakusumbua mpaka kuyaanzishia uzi basi bado sana kuzielewa siasa na wanasiasa!
Mm nilifikiri ww huwa unaongelea mambo ya CDM. Haya ya watu wa CCM ya nn wakati hupo CDM? Kwa hiyo Chongolo anakuuma sana? Hii nchi ngumu sana.Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC.
Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa anadhani Watanzania ni wajinga kiasi gani?
View attachment 2898805
Wapuuzi sana ndio maana wamenasa kwenye tope kazi imewashinda wamebaki kulialiaCHADEMA mnapenda visasi visivyoisha.
Mnataka mkiumchukia mtu basi na wote tumchukie.
Shindeni mechi zenu
Maandalizi ya maandamano yenu yakoje huko mikoani!!Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC.
Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa anadhani Watanzania ni wajinga kiasi gani?
View attachment 2898805
Pengine ulikuwa kinda wakati Chaha Wangwe anauawa kwa kupigwa risasi na Timu Mbowe!! Gari halikupinduka liligeuzwa!!Dereva aliyesababisha ajali yake akafungwa jela , baada ya muda mfupi akaachiwa kwa msamaha wa Rais
Mimi naongelea mambo ya siasa na wanasiasaMm nilifikiri ww huwa unaongelea mambo ya CDM. Haya ya watu wa CCM ya nn wakati hupo CDM? Kwa hiyo Chongolo anakuuma sana? Hii nchi ngumu sana.
Team Msonga.Alivyomkata mtama Warioba alikuwa Team nani ?