sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
1. Kuwadanganya watu wa mwanza kuwa dagaa zao ni tamu kushinda dagaa Mchele wa pwani na dar na WA majichumvi huu unafiki nmeuvumilia mda MREFU sana kiukweli dagaa watamu ni wa 1. DAR, 2.MWANZA ,3KIGOMA
WALE WA KIGOMA HAWANA RADHA YEYOTE
2.Unafiki wa pili ni Kwa watumishi wengi wa UMMA na WASANII wote kuwa CCM aisee hili ni sio tu unafiki ni ujinga we need to be free in this world than being controlled
3.watanzania wote kuamini kuwa ili uwe mtanzania lazima ushabikie Simba na yanga.