Kwahiyo Unalazimisha niwe wa kiume??Unafiki wa tatu na ujinga ni humu watoto wa kiume kujifanya mademu wakiongozwa na kariakoo finest
Ungekufa au sio ππNingeshangaa January ipite bila kujadili dagaa na uzuri wakeπ
Vincenzo Jr π₯±Kwahiyo Unalazimisha niwe wa kiume??
Wewe itabidi niombe namba kwenye timu ya kina @dr mariposa nikujig jig hata na dildo uridhike πΉπΉπΉ
Sema una sura gumu na body lako lenye kitambi km Aggrey hapo ndo nachoka ila ntajitahidi πΉπΉ
Huyo ananipenda kweli anajua mi naweza kuwa basha wake, kumbe mwenzie nikikojoa chini nachimba kishimo..!!
Alikuwa anauliza jina lako la instagramHuyo ananipenda kweli anajua mi naweza kuwa basha wake, kumbe mwenzie nikikojoa chini nachimba kishimo..!!
Mtafutieni muwekezaji atulize mshono πΉπΉ
Sasa huo no unafiki au uongo?1. Kuwadanganya watu wa mwanza kuwa dagaa zao ni tamu kushinda dagaa Mchele wa pwani na dar na WA majichumvi huu unafiki nmeuvumilia mda MREFU sana kiukweli dagaa watamu ni wa 1. DAR, 2.MWANZA ,3KIGOMA
WALE WA KIGOMA HAWANA RADHA YEYOTE
2.Unafiki wa pili ni Kwa watumishi wengi wa UMMA na WASANII wote kuwa CCM aisee hili ni sio tu unafiki ni ujinga we need to be free in this world than being controlled
3.watanzania wote kuamini kuwa ili uwe mtanzania lazima ushabikie Simba na yanga.
Ngoja ifike tarehe 20 utaona maharage nayo yakiingia kwenye mjadalaUngekufa au sio ππ
+Ugali+Maziwa Mtindi Bariidii...!!πππSijaona dagaa wabaya daga wazuri sana ila una wapikaje mkuu dagaa watamu sana ukipika na ugali pilipili kwa uwingi
πΉπΉ Wapi huko?Alikuwa anauliza jina lako la instagram
πππ mbona mambo mengi ivyoNgoja ifike tarehe 20 utaona maharage nayo yakiingia kwenye mjadala
Mi dagaa nanunua wale walioandaliwa nawachanganya na karoti,hoho,kitunguu maji na Carly powder limao kwa mbali napika na kaugali siku imeisha
Pwani tamu zaid hasaa ukila macho yake1. Kuwadanganya watu wa mwanza kuwa dagaa zao ni tamu kushinda dagaa Mchele wa pwani na dar na WA majichumvi huu unafiki nmeuvumilia mda MREFU sana kiukweli dagaa watamu ni wa 1. DAR, 2.MWANZA ,3KIGOMA
WALE WA KIGOMA HAWANA RADHA YEYOTE
2.Unafiki wa pili ni Kwa watumishi wengi wa UMMA na WASANII wote kuwa CCM aisee hili ni sio tu unafiki ni ujinga we need to be free in this world than being controlled
3.watanzania wote kuamini kuwa ili uwe mtanzania lazima ushabikie Simba na yanga.
Hii nayo ipo vzr sana+Ugali+Maziwa Mtindi Bariidii...!!πππ
"LADHA"βοΈβRADHAβ
Kaishiwa Embii nini, mbona Hajibu kama IbrahimπΉπΉ Wapi huko?
Huyo kidampa kazi yake kuzamia pm kuteta watu..!! Akijibebisha ukimkataa anaanza kukuripoti mi simpendi ana michezo ya kina toboa tobo πΉπ€£π€£